hamza

Hamza (Arabic: همزة‎, hamzah) (ء) is a letter in the Arabic alphabet, representing the glottal stop [ʔ]. Hamza is not one of the 28 "full" letters and owes its existence to historical inconsistencies in the standard writing system. It is derived from the Arabic letter ʿAyn (ع). In the Phoenician and Aramaic alphabets, from which the Arabic alphabet is descended, the glottal stop was expressed by alif (𐤀), continued by Alif ( ا ) in the Arabic alphabet. However, Alif was used to express both a glottal stop and also a long vowel /aː/. In order to indicate that a glottal stop is used, and not a mere vowel, it was added to Alif diacritically. In modern orthography, hamza may also appear on the line, under certain circumstances as though it were a full letter, independent of an Alif.

View More On Wikipedia.org
  1. Beki wa Boli, Hamza enzi hizo akiwa kinda wa miaka 12 Mbeya City

    Leo ikiwa ni alhamisi basi ni siku ya TBT. Huyu hapa beki kisiki anayeogopww na fowadi nzima ya Uto, Abdulrazak Hamza, hapa akiwa Mbeya City. Alikuwa na miaka 12 tu ila balaa lake lilikuwa la moto sana. Kama hukufanikiwa kumuona Victor Costa akicheza basi wewe mtazame tu Hamza
  2. W

    Hamza Malik x Rajab Butt x Hira Mani - Over You

    Hamza Malik x Rajab Butt x Hira Mani - Over You Mp3 Download "Over You" is a song by Pakistani artists Hamza Malik, Rajab Butt, and Hira Mani. The song is a blend of pop and traditional Pakistani music, featuring heartfelt lyrics and a melodious composition. Hamza Malik and Rajab Butt are...
  3. T

    Damu ya Hamza al Khatibu ilivyo nena Mei 2011 nakuanguka kwa utawala wa Assad

    Ilikuwa ni Mei 2011 kijana mdogo katika mji wa Deraa mji mdogo nchini Syria karibu na mpaka wa Jordan. Kama ilivyo tawala zaki imla kijana huyu mwenye umri wa miaka 13 alirudishwa kwa familia akiwa amecharangwa na umeharibiwa vibaya na maofisa usalama wa Syria baada yakuwa amekamatwa kwenye...
  4. Simba yamshusha beki wa kati Abdulrazack Hamza (21) kutoka Supersport Afrika Kusini

    Huyu ni raia wa hapa hapa ndani ila alikuwa anakipiga huko kwa Madiba. Abdulrazack ni mchezaji kijana wa Kitanzania anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini kwa ubora mkubwa akiwa kwenye kikosi cha kwanza. Abdulrazack ana umri wa miaka 21 bado ana nguvu na muda mrefu wa kucheza soka na...
  5. Vita kati ya Israel na Hamasi juu ya ardhi ya Palestina inanikumbusha marehemu Hamza

    Ikiwa sasa imepita takribani masiku zaidi ya thelathini ya kushindana kumwaga damu za wasio na hatia kwa pande zote, basi nimekua nikifatilia na kutafakari jinsi haki inavyotafutwa hasa kwa hii style ya jeshi la HAMASI kupambana na ISRAEL. Mawazo yamenifanya nimkumbuke kamanda jasiri marehemu...
  6. Naibu Waziri Khamis Hamza Awafunda Maafisa Ardhi Mvomero

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewataka Maafisa Ardhi nchini kutoa elimu ya matumizi bora na sahihi ya ardhi ili kuepusha migogoro ya wakulima na wafugaji nchini. Mhe. Khamis Hamza Khamis Ametoa agizo hilo wilayani Mvomero mkoani Morogoro...
  7. Naibu Waziri Khamis Hamza akumbusha Wananchi kuchukua Tahadhari juu ya Maambukizi Mapya ya VVU na Ukimwi

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza ameiasa jamii kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI nchini kwa kuendelea kuzingatia elimu inayotolewa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI nchini ili kuunga mkono...
  8. Naibu Waziri Khamis Hamza atoa Wiki Mbili Ununuzi Vifaa vya Mradi Pemba

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ametoa wiki mbili kwa Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba kukamilisha taratibu za zabuni na ununuzi wa pampu, mashine za umeme wa jua na matanki ya kuhifadhia maji ili huduma...
  9. Naibu Waziri Khamis Hamza Awapongeza Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya

    NAIBU WAZIRI KHAMIS WAKATI AWAPONGEZA AHMADIYYA Taasisi za dini na viongozi wake wametakiwa kuchukua hatua stahiki katika kurekebisha mmomonyoko wa maadili unaotokana na utandawazi na matumizi yasiyofaa ya teknolojia. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na...
  10. Hili bango karibu na Ubalozi wa Ufaransa limenifikirisha

    Juzi nilipita maeneo ya karibu na Ubalozi wa Ufaransa nikaona bango moja limeandikwa "Kifo cha Imam Husain kinatukumbusha umuhimu wa Uhuru". Huwa nina kawaida nikiona mabango ya dini napendaga kufuatilia zaidi maandiko yale hasa kama kuna ujumbe ambao umenigusa wakati huo. Ila kuna kitu zaidi...
  11. Huyu Hamza Johari CV yake ikoje na ni kabila gani

    Ndugu Watanzania wenzangu Wikiendi imeenda vyama sana. Embu kwenye kumjua Hutu jamaa wa DP World kwa Tanzania embu naomba atusadie Nadhani sio mimi pekee nisiyemfahamuu vyema . Maeneo ya msingi 1.Historia take 2.Tasisi alizowahi kuhudumu 3.na sasa nini Nani chini Mwisho elimu yake...
  12. Naibu Waziri Khamis Hamza - Fedha Zinatumika kwa Kusimamia Miongozo

    MHE. KHAMIS HAMZA KHAMIS - FEDHA ZINATUMIKA KWA KUSIMAMIA MIONGOZO Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis (Mb) akiwa katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni yaliyoulizwa na Mhe. Zahor Mohamed Haji ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mwera "Fedha za...
  13. Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

    Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza utalii wa ndani ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora zenye gharama nafuu kwenye vivutio hasa huduma...
  14. Waziri Hamza ni mfano wa kifaranga tu, Sasa tunaomba mtetea ajitokeze mwenyewe

    Zanzibar Kuna Waziri anaitwa Hamza, hakuna anayemjua hasa bara, ametumwa ajenda ya kutikisa Muungano. Anatoa maneno ya chokochoko ili kutibua maji ya kisima. Namshauri aliyemtuma ajitokeze, kwa kuwa anafahamika vizuri. Waziri Hamza ni kifaranga tu, na mama yake (mama kuku) ndiye aliyempa hadhi...
  15. Hamza Yusufu naye kuingoza Scotland

    Ikiwa ni chini ya mieze sita tangu kijana mwenye asili ya Tanzania aitwaye Rishi Sunak kushika uwazir mkuu wa Uiengereza.Kijana mwengine mwenye umri wa miaka 37 aitwaye Humza Yousaf wa chama cha SNP huko Scotland ana dalili zote za kuchakuliwa kuwa waziri wa mwanzo jimboni humo. Hiyo inafuatia...
  16. Harry Belafonte na Hamza Aziz

    HARRY BELAFONTE NA HAMZA AZIZ Hamza Aziz kazaliwa Mtaa wa Kipata mtaa ambao mimi nimezaliwa. Babu yangu Salum Abdalah alikuwa na nyumba Mtaa wa Mbaruku jirani na nyumba ya Aziz Ali baba yake Hamza na Dossa Aziz. Kwa ajili hii Hamza Aziz wamejuana na baba yangu toka udogoni kwao. Hamza Aziz...
  17. S

    Hamza aombewa kila kona

  18. Kikao cha kuunda TANU nyumbani kwa Hamza Kibwana Mwapachu - Nansio, Ukerewe 1953

    KIKAO CHA KUUNDA TANU NYUMBANI KWA HAMZA KIBWANA MWAPACHU NANSIO, UKEREWE 1953 Ilikuwa miezi ya mwanzo ya mwaka wa 1953 kabla ya kufika April, 1953. Abdul Sykes Act. President na Secretary wa TAA akifuatana na Ali Mwinyi Tambwe Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa...
  19. Kama Polisi wameweza kuua na kupora, kwanini tukio la Hamza lisichunguzwe upya?

    Ndugu wadau, kama kweli jeshi letu la polisi limefanya mambo haya, ninashauri iundwe tume ilichunguze hili jeshi. Na pia hata like la Hamza lilikuwa na mtazamo kama huu, pia lingerudishwa lichunguzwe upya
  20. Hamza Kassongo on sunday Nyerere Day miaka 22

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…