hana kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea.

    Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye anatafuta. Wewe unalalamika halafu unajilinganisha na wale rafiki zako ambao kila siku wanakula...
  2. Huyu mpenzi Hamna anachonipa jamani!!!!....

    Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehemu tulikua tunakutana kila siku ni sehemu ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo ofisi niliyokua nafanyia uyu kaka ambaye ni mpenzi wangu kwa sasa alikua anapenda sana kuja ofisini...
  3. Karibu kinaumana huku. Jirani kamdanganya mke wake kuwa anafanya kazi TPA kumbe jamaa hana kazi

    Nyie kuna watu waongo aisee. Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua. Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa. Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha...
  4. KALIUA: Shaka awanyooshea vidole Maboss wanaonyanyasa wanawake Kingono asema akibainika tu hana Kazi

    SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI. === Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge. Akizungumza leo...
  5. Ukikutana na Engineer yeyote hana kazi, mchongo wala ramani yoyote ya maisha tafadhali mpige makofi

    Mods sitaki mbadili title, Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer. Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita...
  6. Huyu customer care wa benki hii hana kazi ya kufanya?

    Straight to the topic, Juzi kati kuna hela nilikua natarajia iingie kwenye acount yangu sasa nikawa nimeangalia sana salio ile siku kama mara 8 hivi ila hela ikawa haijaingia, nikaona isiwe kesi nikatulia zangu. Sasa mida ya jioni nikaona simu inaita nikapoke, aliyepiga akajitambulisha kua ni...
  7. Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

    Na, Robert Heriel Vikoba ni msaada mkubwa kwa watu wasioweza kuhifadhi pesa, watu wasio na msukumo wa kutafuta pesa. Vikoba humsaidia mtu kupata msukumo wa kutafuta pesa ili apate pesa ya marejesho. Vikoba vina faida nyingi sana, lakini faida kuu ni msukumo wa kutafuta pesa iwe kwa halali au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…