handbags

A handbag, commonly known as a purse in North American English, is a handled medium-to-large bag used to carry personal items.

View More On Wikipedia.org
  1. Wauzaji wa handbags na masimo kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za handbags medium size

    Kwa wale ndugu zangu Wauzaji wa handbags na massimo(kama sijakosea kuiandika hiyo masimo) kwa bei ya jumla naomba kujuzwa bei za jumla handbags medium size pamoja na massimo Pia naomba kufahamu bei ya jumla kwa pochi kubwa za kike
  2. INAUZWA Wauza totebags, Laptop tote bags na Handbags

    Tunauza totebags,Laptop totebags and handbags Karibuni sana. Tshs.20,000. Rejareja Jumla 3-20 Pcs Tshs.15,000 20Pcs-50Pcs Tshs.13,500 50Pcs -100Pcs Tshs.13,000 100 Pcs na zaidi Tshs. 11,000. 📍Survey Darajani Near Mlimani City📍 📞0786 149173 📞0652 918806
  3. Tunauza handbags za kike kwa bei ya jumla na rejareja

    Hello wana JF, Karibuni ofisini kwetu kariakoo mtaa wa agrey na msimbazi jengo la canaan complex ujipatie handbags nzuri na za kisasa wa wadada na wamama kwa bei ya jumla na rejareja. Kwa mawasiliano ni 0626817740 Karibuni sana wana JF naomben sana support yenu
  4. A

    Historia ya handbags 👜

    Today’s designer handbags have a long and storied history. Early Europeans used handbags just as we do today—to store personal belongings needed for the day. Clothing had no pockets until the 17th century, so men also carried handbags for things like coins, alms, and relics. Worn attached to...
  5. Ushauri, Nataka kuanza biashara ya handbag au viatu toka China/Uturuki

    Wakuu habari za majukumu, Nataka nifungue biashara ya kuuza mikoba au handbag za wadada, wallet na viatu pia special toka China na Uturuki. Eneo ni Kibamba Dar es salaam. Kwa wale wenye ujuzi vipi inalipa wakuu, ushauri nahitaji wakubwa, mtaji ni 1.5 mil plain nje ya Gharama za fremu. Mimi ni...
  6. H

    Karibu handbags kwa bei rahisi

    Nawakaribisha dukani kwangu Manzese Tip top kwa bidhaa bora za handbags na pochi za wadada. Simu 0759891571
  7. Kiwanda cha mikoba Tanzania

    Naomba nisaidiwe, hivi kuna kiwanda cha mikoba na mabegi hapa nchini kwetu? Na kipo mkoa gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…