handeni

Handeni is a town located in the Handeni Urban District, Tanga Region, Tanzania. It is the capital of both Handeni Town Council and Handeni District. The 2012 national census estimated the population of Handeni Town Council at 79,056.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Lini ni siku ya mnada wa mifugo-Mkata (Handeni)

    Wadau, Naomba kujua siku zipi ni siku za mnada wa mifugo kwa mkata-handeni, natafuta san ambuzi wa kutosha. Natanguliza shukurani kubwa!
  2. Pre GE2025 Rais Samia ashiriki kwenye uzinduzi wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga

    Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025 https://www.youtube.com/live/A5Kayo33810?si=SkcoQaTDduuUWupm Akiwa kwenye ziara hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alifanya ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, iliyopo...
  3. Wagonjwa 6,847 Watibiwa Hospitali ya Wilaya ya Handeni

    WAGONJWA 6,847 WATIBIWA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema wagonjwa wapatao 6,846 wamepata huduma za Afya Katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni tangu ilipokamilika na kuanza kutoa huduma. Waziri...
  4. Uwekezaji wa Rais Samia Katika Afya Waondoa Changamoto za Huduma za Kibingwa Handeni

    Hapo zamani wakazi wa halmashauri ya wilaya ya Handeni na vijiji vyake walilazimika kwenda Tanga mjini hospitali ya Bombo au kwenda Muhimbili Daresalaam kwaajili ya huduma za kibingwa, lakini kwa uwekezaji uliofanywa na Rais Samia kwenye afya, shida hizo zimetatuliwa. Hawa ni baadhi ya wakazi...
  5. Handeni, Tanga: Wachinja ng'ombe 23 ziara ya Rais Samia

    Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa. Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata leo Februari 23, 2025, mkuu wa...
  6. Pre GE2025 Video: Mbele ya Rais Samia, Mbunge wa HandenI atangaza kuoga hadharani pindi mradi wa maji wa jimboni kwake utakapomalizika!

    Wakuu, Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea. Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais anasema kabisa kuwa siku maji yakija ataoga hadharani. Mbunge wa Handeni akiwa anaongea mbele ya Rais...
  7. Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

    Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Februari 22, 2025 amefanya ziara ya kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni (Mkata) Mkoani Tanga inayotarajiwa...
  8. Waziri Ndejembi aagiza kusimamishwa kazi kwa afisa ardhi Handeni kwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza kusimamishwa kazi kwa Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kutokana na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika eneo hilo. Ametoa agizo hilo Februari 20, 2025, wakati wa ziara ya Waziri Ndejembi katika...
  9. N

    Wakazi wa Bongi, Handeni – Tanga waliokuwa wanatembea Kilomita 3 kufuata maji, sasa wapata huduma

    Wakazi wa Bongi, Handeni walikua wanashida ya maji iliokua ikiwalazima wamama kutembea umbali wa kilomita 3 mpaka 4 ili kufuata maji. Rais Samia, kama rais wa nchi na kama mama amekua mstari wa mbele kuhakikisha anawashusha wanawake ndoo na kusogeza huduma za maji karibia na maeneo yao. Rais...
  10. Kama una Mtaji Njoo ufungue Gym Mkata Wilaya ya Handeni

    Wasalam mabibi na mababu, Kama mnavvojua wilaya ya handeni - Mkata kwa sasa ni sehemu inayokuwa kwa kasi sana. Kuwepo kwa Ofisi za Halmashauri Mkata, Hospital kubwa ya wilaya, Lakini yote kwa yote ni mji uliokuwa na muingiliano na watu tofauti tofauti kama vile watumishi wa umma, wafanya...
  11. Dc Albert Msando wa Handeni aamuru Kukatamatwa Kwa mwandishi wa ITV na kufutwa kwa alichorekodi

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Bw. Albert Msando, ameagiza mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa material yote yaliyokuwa yamerekodiwa na mwandishi huyo ambaye anafuatitilia sakata la madereva wa malori ya mchanga kugoma kwa kile kinachodaiwa kutozwa ushuru mkubwa na...
  12. LGE2024 Chama cha NLD chatoa ahadi ya kushughulikia changamoto za migogoro ya ardhi wilayani Handeni

    Wagombea nafasi ya Uenyekiti kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa Chama cha National League of Democracy (NLD) wamebainisha kuwa zipo kero ambazo watakwenda kuzifanyia kazi kwa maslahi ya wananchi kwani ni za muda mrefu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mkutano wao wa hadhara ikiwa ni...
  13. Mitambo ya Rais Samia Yarejesha Bwawa lililopotea Handeni

    MITAMBO YA RAIS SAMIA YAREJESHA BWAWA LILILOPOTEA HANDENI Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Maji Kwenkambala lililopo Kata ya Kwediyamba, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambao awali ulikumbana na changamoto kadhaa ikiwamo rushwa na kusimamishwa kwa...
  14. Zijue fursa zinazopatikana Handeni mkoani Tanga ambazo zitakufanya uwe tajiri kwa muongo mmoja tu

    Nchi hii imejaa utajiri kila mahali leo nitakujuza fursa mbalimbali zinazopatikana Handeni mkoani Tanga 1. Uuzaji wa magogo na Mbao Hii ni moja ya biashara kubwa sana itakayokuingizia kipato kikubwa kwa muda mfupi sana ilimradi uwe full kwenye vibali vya maliasili ili usisumbuane nao Misitu...
  15. O

    Waliochomwa moto Handeni: Ni uhalifu au kisasi?

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/waliochomwa-moto-handeni-ni-uhalifu-au-kisasi--4774174 Credit:MWANANCHI
  16. Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni

    Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24, 2024 kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
  17. Wazo la Mwanzo ilikuwa wamasai wa Ngorongoro wapelekwe Wilaya ya Longido, kwa nini ilibadilishwa na kupelekwa Handeni?

    Kwanza ijulikane wazo la kuwapunguza wamasai wa Tafara ya Ngorongoro na kuwapelekea nje ya Ngorongoro lipo kitambo tangua enzi za JK, Ila hakikuwa na nguvu na msukumo, wakati huo wazo lilio kuwepo ni wapelekwe Longido kwa wamasai wenzao. Eneo lilikuwa lisha patikana. Ila enzi zile ilikuwa...
  18. R

    Boniface Jacob: Habari mbaya kuhusu Kombo Mbwana Twaha

    Kutoka kwenye kinywa chake, siyo mimi 1. Ametembezwa mikoa 10 2. Muda wote alikuwa amefungwa kitambaa cheusi machoni for all 29 days 3. Ameteswa kishenzi 4. Amevunjwa vidole 5. Mlo mmoja per day etc etc etc --- HABARI MBAYA KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA 😭😭😭 Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu...
  19. Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Godbless Lemma wafanya mkutano wa siasa pamoja Handeni

    Ni Msando na Lemma. Hii ni hatua ya kupongezwa kwa Godbless Lemma, amekiri kwamba siasa sio uadui. Hii pia aliisema Mbowe alipokuwa katika kikao Arusha ambapo alihimiza 4R za Samia za kusameheana na kushirikiana. Mtu pekee ambaye anaendesha siasa za chuki ndani ya Chadema ni makamu, ambapo...
  20. Handeni: Dereva wa Bodaboda agonga bundi na kufariki

    Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…