Kwanza lazima tukubaliane huyu dogo ana kipaji kikubwa sana.
Ndio maana wengi walikuwa wanasubiri ujio wake akiwa chini ya WCB. Na ilitegemewa ujio wake ungekuwa na kishindo.
Lakini bahati mbaya amezinguana na uongozi wa Wasafi na baada ya hapo akaachia ep yake ya Amazing.
EP yake japo...