Kama TANESCO imeweza kutumia mfumo wa outsourcing katika baadhi ya shughuli zake, ikiwemo huduma kwa wateja, logistics na huduma nyingine za kiutendaji, kwa nini DAWASA nayo isifikirie kufanya mageuzi makubwa ya namna inavyoendesha shughuli zake?
Katika kipindi hiki ambacho tunashuhudia...