hapa kazi tu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoa Taarifa

    Kivuko cha MV Chato II Hapa Kazi Tu chakwama majini baada ya Mashine kunasa kwenye Nyavu

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko MV. CHATO II HAPA KAZI TU kinachotoa huduma katika maeneo ya Chato, Mharamba, Izumacheli na visiwa vya jirani kuwa, kivuko hicho kimesimama kutoa huduma kuanzia majira ya saa nne na nusu asubuhi kutokana na kunasa kwa...
  2. tufahamishane

    Mbona sisikii tena kauli mbiu ya Hapa kazi Tu?

    Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote? Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi...
  3. ngara23

    Nawapongeza serikali Kwa ukarabati wa meli Ya MV Victoria Hapa kazi tu

    Mnyonge mnyongeni lakini hakini yake mpeni. Leo nimesafiri na hii meli kutoka Mwanza kuelekea Bukoba kusema la ukweli nimefurahia safari. Meli inavutia mno seat ziko vizuri, huduma ya chakula, upande wa bar Kuna vinywaji na burudani hadi nimeisahau kama Niko safarini. Wahudumu wameli wako...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Unakumbuka nini kipindi kile cha hapa kazi tu?

    Nchi ya Nambara ilikuwa na historia ya kipekee. Iliyokuwa mara moja nchi yenye changamoto nyingi za kiuchumi, sasa ilikuwa nchi inayojulikana kwa maendeleo na ustawi wa kijamii. Kauli mbiu ya nchi hiyo, "Hapa Kazi Tu," ilikuwa imewashawishi watu wa Nambara kufanya kazi kwa bidii na kujitolea...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia akikagua meli mpya ya MV Mwanza (Hapa Kazi Tu) katika Bandari ya Mkoa wa Mwanza

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Meli Mpya ya hapa kazi tu katika Bandari ya mkoani wa Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteremka kutoka ndani ya Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV...
  6. The Tomorrow People

    Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

    Niende moja kwa moja! Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je, tatizo ni nini?
  7. K

    Meli ya MV Mwanza, 'Hapa Kazi Tu' yawa gumzo kila kona

    Meli ya MV Mwanza hapa kazi tu, licha ya kuchukiwa na Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla imegeuka kuwa gumzo kwenye ukanda wote wa Afrika mashariki na kati, kutokana na maajabu yake ya ukubwa na kasi yake.
  8. Erythrocyte

    Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

    Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi. Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo...
  9. Rweye

    Watanzania tunaomba kujuzwa ujenzi wa meli mpya "Hapa Kazi Tu" umefikia wapi na mwisho wa mkataba ni lini?

    Mama na serikali yako mnaulizwa na watanzania juu ya ule ujenzi wa meli mpya "MV Mwanza" Hapa kazi tu iliyokuwa ikijengwa pale Mwanza ni nini kinaendelea kwa sahivi. Ile meli ilitakiwa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, ni meli ya safari kati ya Mwanza, Bukoba na Entebbe. Tunajua ujenzi...
  10. Nigrastratatract nerve

    Hapa Kazi Tu (HKT) kiwe chama kipya cha kisiasa Tanzania kitakachoenzi falsafa na maono ya Hayati Dkt. Magufuli na kiwe tegemeo la Watanzania

    Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo. Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote. Hatutakaa...
Back
Top Bottom