hapendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni msaada wa mawazo mwanangu hapendi Kula

    Habari za leo wana Jf. Naombeni msaada wa mawazo ya kumfanya mtoto wangu apende kula. Mtoto wangu ni wakike anaumri wa miaka 5 sasa. Afya yake sio mbaya ila tatizo lake HAPENDI KULA. Kila siku lazima nimshikie fimbo wakati wa kula. Nikulazimishana ni vilio mwanzo mwisho mpaka chakula kinaisha...
  2. Huyu mwanamke ni kweli hapendi kutumiwa pesa au ni janjajanja zake?

    Wakuu kuna manzi mmoja anafanya kazi kwenye duka karibu na langu nimemzimika ile laana. Uzuri wa huyu manzi ni ngumu kuuelezea kwa lugha za kibinadamu. Wanawake wote duniani wakichanga uzuri ndo watafikia robo ya uzuri wa huyu manzi. Huwa naenda dukani kwao kupata huduma za kifedha na...
  3. Unadhani ni kwanini Lisu hapendi collective responsibilities ndani ya uongozi wa chama chake?

    Sote ni mashahidi kwamba Tundu Lisu ni mbinafsi mno. Hapendi, haheshimu wala kuzingatia dhana ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya taasisi yake mwenyewe. Ratiba za mkutano yake na hata contents za mkutano huwaga ni za kibinafsi Lakini anatumia platforms za Chadema. Hakuna jambo analofanyaga Tundu...
  4. D

    Jamani Mungu yupo na anafanya kazi usiku na mchana. Tuache kuonea watu mungu hapendi na kisasi chake

    Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla...
  5. T

    Pre GE2025 Makalla: Lissu ni ndugu yangu yupo mbioni kuja CCM maana CHADEMA wanaendekeza rushwa wakati Lissu hapendi kabisa

    Akihutubia wananchi wa mkoa wa Kagera makala amesema chadema wameshindwa kabisa kujibu kiu ya Lissu ambapo Lissu amelalamikia rushwa na kukosekana demokrasia ndani ya CHADEMA lakini hawana mpango wowote kuyashughulikia. Ndugu Makalla amesema kutokana na ukweli huo alimsikia Lissu akisema...
  6. S

    Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

    Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu. Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na...
  7. T

    Papa Francis aomba radhi baada ya ripoti kudi alitumia lugha ya chuki kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Hizi majuzi Papa Francis amelazimika kuomba radhi hadharani baada ya taarifa kuvuja kwamba kwenye kikao cha hivi karibuni na makadinali 250 wa Italia, Papa alitukana mashoga. Kwenye kikao hicho binafsi Papa Francis alitumia maneno makali sana dhidi ya mashoga na ushoga. Zaidi Papa alionya...
  8. G

    Tusikimbilie kusema fulani hapendi ndugu kisa hawapi nafasi kwenye biashara yake ama kuwapa connection ofisi aliyomo, hizi ndizo sababu kuu/

    Kuna lawama baadhi ya watu huwa tunapewa kwamba tunataka kufanikiwa wenyewe, hatupendi ndugu wafanikiwe, anataka kuonekana peke yake ndie mwenye mafanikio kwao, n.k. ni kweli kuna baadhi ya watu hufanya hivi maksudi lakini sio wote. Mtu unakuta ana kampuni yake, biashara yake ama yupo shirika...
  9. Mkiambiwa Mungu hapendi Kulazimishwa Jambo kwani hutupa kila Kitu kwa Kipimo hatusikii tu

    Na kaniambia hii Mvua isiyoisha Koki yake ataisahau wa Makusudi kwa muda mpaka tushike Adabu kisha atarejesha Jua lake na Joto. Ndani ya Wiki Mbili nzima kila Mtu anamlaumu tu Mwenyezi Mungu kwa Joto na Jua Kali na Wengine hata Kumchukia wakati Yeye alikuwa na lengo lake Jema tu na sasa baada...
  10. Kiasili Binadamu hapendi Uhuru lakini anauogopa Uhuru

    Habari ya leo wanajamvi. Ninatoa Pole na hongera mnapofanya kazi zenu kwa jitihada kubwa. Mola awajaalie mema yazidi kuongezeka. Moja kwa moja ninawakaribisha kwenye Mada: Katika mtazamo wa kwanza jambo hili huonekana kuwa si kweli. Tangu wakati wa Plato kumekuwepo na mawazo kuwa Binadamu siku...
  11. Mama hapendi mlima kuchezewa, Simba shusheni kibegi chenu

    Rais Samia ameagiza kibegi Cha Simba kishushwe kama kiliachwa huko ili kuepuka kuwakanganya watalii. Tusilete utani kwenye njia zetu kuu za uchumi. Watalii hawataelewa kukuta kibegi huko kileleni.
  12. Rais Samia anaogopa kufungua miradi ya Hayati Magufuli maana lazima amtaje na akimtaja wananchi wanashangilia

    Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Hayati Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Hayati Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia sana Magufuli kuliko wote...
  13. Tanasha Dona hapendi wanaume wanaonuka jasho (vikwapa)

    Kama msela una kijasho basi watoto wazuri kama Tanasha utawala kwa macho. Wanapenda wanaume wasafi wanaonukia vizuri. Kama una kikwapa tafuta wa kufanana nae.
  14. J

    Magufuli aliwapepeta wapinzani kama ngano, tukajua ngano ni ipi na pumba ni zipi!

    Shetani ndiye mjaribu mkuu ambaye akiisha tujaribu mrejesho humrudia Mungu wa mbinguni Sisi Wakristo huwa tunaomba kila siku tukisema " ...Usitutie Majaribuni/ Kishawishini lakini utuokoe na yule mwovu" Hivyo basi shetani amepewa Mamlaka ya Kutujaribu hata sasa ila mwokozi Yesu alifanikiwa...
  15. Mume wangu hapendi ndugu zangu

    Habari wakuu, nahitaji ushauri, Mimi ni binti nimeolewa naishi na familia, mume wangu pamoja na mdogo wangu wa kike. Tatizo ni kwamba mume wangu amekuwa na kisirani sana juu ya huyu mdogo wangu wa kike. Kila anachofanya lazima mwanaume alalamike. Na wala sijawahi kuwa na mawazo labda...
  16. S

    Picha: Binti anamaanisha kuwa hapendi kutolewa mahari

    Ametoa kauli fikirishi Sana. Nami najiuliza kwanini wazazi wanabadilisha mabinti zao na fedha, ng'ombe, mashuka, mikuki, pombe na majembe?
  17. Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

    Habari wakuu, Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa. Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi...
  18. Simbachawene: Wako watu wanaofikiria Rais Samia hapendi Dodoma, wanamsingizia. Hana kusudio kurudisha makao makuu Dar

    Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilifanya maamuzi ya kuhamia Dodoma mwaka 1973 na sasa taasisi zote muhimu zinakamilisha ujenzi wa majengo yake Dodoma ikiwemo Ikulu na wizara zote zimetengewa bilioni 20. Simbachawene amesema zipo taasisi zinazosita kuhamia Dodoma na wako watu...
  19. Jinsi wanawake wanavyochukulia Dhana ya "Kutongozwa"

    JINSI WANAWAKE WANAVYOCHUKULIA DHANA YA "KUTONGOZWA" Anaandika, Robert Heriel. Asali ya Warembo! Wanawake wapo complicated ukitumia akili ya kiume kuwatafakari, lakini ukitumia akili ya kike utawatambua vyema Kabisa na wala hawatakusumbua kuwaelewa. Kama hauna akili ya kuwaelewa wanawake basi...
  20. M

    Kwa mambo yote haya, Rais Samia hapendi mapambio

    Ndani ya Kipindi kifupi tumeona uwekezaji uliovunja rekodi tangu tupate Uhuru. Hatujawahi kuvutia uwekezaji kwa kiwango cha trilioni 9.6 thamani ya uwekezaji ndani ya miezi 9 yaani uwekezaji wa Rais samia miezi 9 unazidi uwekezaji wa miaka 4 iliyopita huyu Mama hana sifa ya kujikosha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…