Katika awamu ya tano kuna vijana viongozi waliotia fora kutumia madaraka vibaya.
Mama Samia amewakonga mioyo watanzania kwa kumuondoa Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai, aliyetia fora kwa kuongoza kwa ubabe, uonezi na uporaji.
Sasa bado viongozi wawili, RC wa Mbeya Chalamila, mtu asiye na staha...