GRAPHS ZA MAISHA: KUPANDA, KUSHUKA NA KÛWA UNIFORM
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Maisha ni hesabu ya 📉 📈 Graph. Maisha ni safari. Katika safari kûna nyakati, mazîngira, na wahusika àmbao huweza kuathiri Graphy yako.
Wàpo waliozaliwa katika Maisha àmbayo Graphy zào zîpo juu. Zimepanda...
Nimesikitishwa na jinsi maiti zilivyokutwa kwa mganga wa kienyeji kule Singida.
Hii ni moja ya matokeo ya tamaa kali za mali hasa kwa vijana wa siku hizi wakisukumwa kauli mbiu za kipumbavu zinazoongozwa na visichana na wanawake wasiojielewa.
Tamaa hii kali ya mali na utajiri vimewasukuma...
Hili swala nilikuwa nalijua ila leo baada ya message fulani hivi kutumiwa na kijana mdogo ambaye nilizoeana naye ambapo alikuwa mfanya usafi ofisini, baadae alipata kazi sehemu nyengine ila kwa wakati kadhaa alikuwa ananipigia simu na kunipiga vizinga.
Sababu nilikuwa najua hali yake, nikawa...
Japo leo nimegonga ghorofa ya 3 net. ila naona mtaa siusomi kabisa na ni hali halisi pesa inayopatikana ni kulisha tumbo tu. Hata investments nazo anzisha ni pesa zinahitaji ili na zenyewe zilete pesa kama return on investments (ROI) ila dah
Najikaribisha mtaani kwa mara nyingine.
Lucas Mhomba ambaye amekatwa miguu na viganga vyote viwili (kushoto) na kulia ni awali akiwa na viungo vyote.
Oktoba 14, 2023 haitasahaulika katika maisha ya Lucas Mhomba, mkazi wa Dumila wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro.
Alivamiwa na watu wasiojulikana akajikuta akipoteza miguu yote miwili...
Katika harakati za kupambana na maisha, tunakutana na chanamoto hapa na pale ambazo wakati fulani unaweza kuona dunia imeisha na hakuna pakutokea, lakini amini kwamba hayo magumu unayopitia yana mlango wa mafanikio, usikate tamaa sababu kuna siku utapata ufumbuzi na magumu yote yabaki kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.