GRAPHS ZA MAISHA: KUPANDA, KUSHUKA NA KÛWA UNIFORM
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Maisha ni hesabu ya 📉 📈 Graph. Maisha ni safari. Katika safari kûna nyakati, mazîngira, na wahusika àmbao huweza kuathiri Graphy yako.
Wàpo waliozaliwa katika Maisha àmbayo Graphy zào zîpo juu. Zimepanda...