Aisee kwa ufupi sikuwai kuwaza nitakuja kuangukia kazi hii ambayo japo kua napata riziki lakini kwa namna fulani nafsi haina ile furaha ya kweli.
Najua wapo watu humu wanafanya shuguli za kujiijgizia kipato lakini haikua ndoto yao. Kwa mfano mimi napenda sana niwe na ofisi yangu binafsi...
KILA SIKU KUNA WATU WANAFANIKIWA KWENYE MAZINGIRA UNAYOONA NI MAGUMU.
1. Kipindi unalaani mahusiano kuna ndoa kila siku zinafungwa.
2. Kipindi unasema hakuna ajira kuna wanaoajiriwa kila siku
3. Kipindi unasema biashara ngumu kuna ambao wanauza mpaka wanakataa wateja.
4. Ukisema mshahara mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.