Aisee kwa ufupi sikuwai kuwaza nitakuja kuangukia kazi hii ambayo japo kua napata riziki lakini kwa namna fulani nafsi haina ile furaha ya kweli.
Najua wapo watu humu wanafanya shuguli za kujiijgizia kipato lakini haikua ndoto yao. Kwa mfano mimi napenda sana niwe na ofisi yangu binafsi...