Habari za muda ndugu zangu watanzania.
mada husika hapo inaeleza maisha na mahusiano ya mapenzi katika Karne hii ya 21, na kizazi kijacho kwa Karne ya baadae itakuwaje.
kwa Sasa maisha kwa hapa Tanzania kwa asilimia 60% bado yanasua sua, asilimia 40% ni wale wapigaji wa fedha katika miradi na...
Habari Wana Jf hope wote ni wazima, niende kwenye mada moja kwa moja.
Mob psychology ni Hali jumuishi ya kundi kubwa la watu kuwa na mawazo au mtazamo unao fanana. Kundi kubwa la watu Lina amini kuwa walimu ni watu maskini pia kundi kubwa la watu Lina amini kuwa kusoma hadi chuo kikuu ni...
Habari za muda huu wakuu? Ninaimani mnaendelea poa, lakini poleni kwa wale mnaokabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo 'Kiafya' na nina imani mtarejea katika utimamu.
Wakuu, katika kuhakikisha tunapashana na kupeana yale yanayoweza kutuongezea elimu na kutusogeza mbele, leo nashuka na uzi huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.