harlod matemba

Harlod Matemba ni mmilikiwa vituo maarufu vya kujaza mafuta vya Victoria
  1. Twinawe

    Nani mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya “Victoria”?

    Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake. Napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote. Naonaga zinapigwa nyimbo za dini, au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji? Kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Back
Top Bottom