harmonize yanga day

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fulana yenye Picha ya Rais Samia aliyovaa Harmonize kwenye Yanga Day ya kazi gani?

    Kuvaa fulana ya Mwanasiasa ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili kwenye Tamasha la Soka la Yanga, imeshangaza wengi. Bado haifahamiki lengo hasa la kuvaa hivyo, Maana kama ni kampeni za Uchaguzi mbona Muda wake bado? Halafu kama ni kampeni mbona viongozi wanaokula Nchini akiwemo RC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…