Wakuu,
Hivi Prince Harry atapeleka wapi sura yake?
Baada ya kuitosa familia yake nzima ikiwemo Prince Charles na kaka yake Prince William na kuhamia Marekani, imeripotiwa hivi karibuni kuwa Harry tayari ameomba talaka kutoka kwa Meghan.
Harry na Meghan bado hawajathibitisha taarifa hizi...
Leo Maktaba imetembelewa na Hamisi Delgado rafiki yangu toka ujana wetu.
Yeye si mgeni hapa Maktaba ingawa kaondoka hapa nyumbani miaka mingi sana.
Lakini akija sharti aje kunikagua.
Leo katika mazungumzo kanikumbusha Harry Belafonte na Sidney Poitier walivyokuja Dar es Salaam mwaka wa 1973...
Harry Kane amewatia gundu wenzie mpaka kombe wamelikosa kama alivyowapelekea gundu Bayern Munich wakakosa ubingwa msimu uliopita na sasa kwa mara nyingine vijana walipambana lakini mkosi aliokuwa nao kane ni hatari sana imefika kipindi apumzike ili awaachie vijana wabebe kombe tu.
Prince Harry "bila uhalali, ametendewa vibaya kuliko wengine" juu ya mipango yake ya usalama na ulinzi wake wakati yuko Uingereza.
"The Duke of Sussex" anachukua hatua za kisheria dhidi ya Ofisi ya Mambo ya Ndani juu ya uamuzi wa Februari 2020 ambao ulimaanisha kuwa hatapewa tena "kiwango...
Straika wa Bayern Munich, Harry Kane ameendelea kuwa na mwanzo mzuri katika klabu yake mpya baada ya kufikisha magoli 17 katika Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundeslia) ndani ya michezo 11 Msimu wa 2023/24 na kuwa mchezaji wa kwanza kufikia mafanikio ya magoli hayo katika ligi hiyo.
Amefikisha idadi...
🎯HILI LINASIKITISHA SANA NA KUFURAHISHA PIA.
By Lackson Tungaraza
♦️Pichani ni mchezaji wa mpira wa miguu katika kilabu ya Manchester United iliyopo Uingereza.
Jina lake ni HARRY MAGUIRE na anacheza katika nafasi ya beki wa kati.
Harry Maguire alisajiliwa kwa pesa nyingi sana katika kilabu...
Beki wa kati wa Manchester United, Harry Maguire ametoa kauli ya kuwa kama ataendelea kupata nafasi ndogo ya kucheza chini ya Kocha Erik ten Hag basi atafikiria kuondoka Januari 2024.
Maguire, ambaye alitoa asisti ya goli la ushindi katika mechi iliyopita dhidi ya Brentford, amesema "Siwezi...
Taarifa za kifo cha muigizaji huyu Sir Michae Gamboni maarufu kama Professor Albus Dumbledore kilitangazwa na familia yake jana tar 28/9/2023.
Mwigizaji Sir Michael Gambon amefariki kwa amani hospitalini akiwa na umri wa miaka 82, familia yake ilisema.
Sir Michael alikuwa maarufu kwa mashabiki...
Ten Hag ‘achanganyikiwa’ kwa kukosa timu ya kumnunua Harry Maguire na wengine kadhaa
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag yupo anaumizwa kichwa na hali ya klabu yake kushindwa kuwauza wachezaji ambao hawapo kwenye mipango yake huku muda wa kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili...
Baada ya Miaka 13 akichezea spurs na muda mfupi akitumikia Leicester city , Norwich city, Millwall na Leyton orient kwa mkopo hatimaye Harry Kane anakwenda kuchezea Bayern Munich fc.
Dau la uhamisho ni dola milioni 110 .
---
Tottenham have accepted an offer from Bayern Munich for Harry Kane...
Klabu ya Manchester United imekataa ofa hiyo ya Pauni Milioni 20 (Tsh, Bilioni 63) kwa kuwa inaamini ni dau la chini na imeweka wazi thamani ya beki huyo wa kati kwa sasa ni Pauni Milioni 35 (Tsh Bilioni 110)
Kocha wa West Ham, David Moyes anataka kuwasilini Maguire pamoja na kiungo mwingine...
Inadaiwa kuwa beki huyo wa kati anayehusishwa kuondoka ndani ya Manchester United hata ikitokea akabaki kikosini anaweza kupoteza cheo cha kuwa nahodha mkuu wa timu badala yake nafasi hiyo ikaenda kwa Bruno Fernandes.
Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika wiki hii kutokana na Kocha wa United, Erik...
HARRY BELAFONTE, MIRIAM MAKEBA, SIDNEY POITIER AND SAL DAVIS KENYA INDEPENDENCE CELEBRATIONS 1963
Nakuwekeni kipande hiki kama kumbukumbu ya Harry Belafonte kama nilivyoelezwa na Sal Davis.
Nilimwambia Sal Davis siku moja tukae kitako tuandike maisha yake.
Akanikubalia.
Haya yalitokea baada...
HARRY BELAFONTE NA HAMZA AZIZ
Hamza Aziz kazaliwa Mtaa wa Kipata mtaa ambao mimi nimezaliwa.
Babu yangu Salum Abdalah alikuwa na nyumba Mtaa wa Mbaruku jirani na nyumba ya Aziz Ali baba yake Hamza na Dossa Aziz.
Kwa ajili hii Hamza Aziz wamejuana na baba yangu toka udogoni kwao.
Hamza Aziz...
HARRY BELEFONTE MIAKA 96
Miaka ya mwanzoni 1970s nilikuwa napita nje ya ofisi ya British Airways.
Mbele yangu nikawaona Harry Belafonte na Sidney Poitier wanatoka katika ofisi hiyo.
Itaendelea...
Nikawasogelea karibu nikawasalimia na kuomba autograph zao.
Nilikuwa sina karatasi nikatoa...
Kwa wale wafuatiliaji wa filamu mnakumbuka Harry Potter and the Philosopher’s Stone au kwa jina lingine Harry Potter and the Sorcerer's Stone Moja ya filamu ambayo niliikubali sana, hii filamu ilitoka mwaka 2001, hivi ndivyo waigizaji wa filamu hii walivyo sasa.
Dudley Dursley (Harry Melling)...
Wamesikika chawa wa Mama wakijinasibu na tafsiri zao kuhusiana na alichosema Mbowe Mwanza.
Kwamba Mbowe kalazimika kusema kushughulika na CCM ni kama hivi:
Na bado chawa wa Mama wanakenua?
Wanaelewa uzito wa kauli kama hii ukizingatia Mbowe ni mtu mzima mwenye familia yake?
Si kuwa kauli...
Mtoto wa Mfalme Charles na hayati Princes Diana, Prince Harry anakiri katika kitabu chake kipya kuwa aliwahi kutumia dawa za kulevya aina ya Cocaine akiwa na umri wa miaka 17, lakini anasema "haikuwa ya kufurahisha sana".
Matukio hayo yanaonekana kuja baada ya babake, Mfalme Charles III...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.