harufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr isaya febu

    Harufu Mbaya Sehemu Za Siri Kwa Mwanaume.

    Ukiachalia mbali wanawake, tatizo la harufu mbaya sehemu za siri ni changamoto inayowasumbua wanaume wengi pia duniani. Harufu mbaya kwenye sehemu za siri kwa mwanaume inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali. Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia sababu kadhaa zinazochangia harufu...
  2. Dr isaya febu

    Sababu Za Uke Kutoa Harufu Mbaya

    Kutoa Harufu Mbaya Ukeni: Uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi duniani, hususani wakati wa tendo la ndoa. Uke kutoa harufu mbaya kwa kiasi kikubwa husababishwa na fangasi wa candida albicans, japo sio kila mara ndio maana kuna umuhimu wa kutafuta chanzo cha tatizo la...
  3. oko majimaji

    Nahisi harufu ya utapeli

    Kwemaa. wazoefu nifanye nini ili nisipigwe na kitu kizito hapa hawa nahisi ni wanaija.
  4. Okoth p'Bitek

    Where is Tanzania, Ninasikia Harufu

    Karibu kwenye maandalizi ya sherehe, malaika wa bwana ameanza kupasha habari kwa watumishi Safari ilikuwa ni ndefu na ya kuchosha lakini kwa hapa tulipofika nisisite kusema ni haki malaika kupaa angani wakiwa wanashangilia kwani ushindi umeonekana mbele ya macho yao Ile ahadi ya bwana mungu...
  5. Mikopo Consultant

    Angalizo kwa serikali kuhusu ukaguzi wa majengo Kariakoo, nimenusa harufu kubwa ya Rushwa

    Rais naskia ametangaza majengo yote ya eneo la Kariakoo yafanyiwe uhakiki. Japo sijaithibitisha hii habari niliisikia tu juu juu kwenye mitandao. Uhakiki wa majengo ni jambo zuri mno kwasababu itatuhakikishia kupungua kwa majanga ya aina hii - majengo kuporomoka. Kwahiyo kama hili zoezi...
  6. gstar

    Fedha zilizo expire kurudishwa kwenye mzunguko, kuna harufu ya ufisadi.

    Tunapo karibia uchaguzi mkuu pesa itatafutwa kwa njia yoyote ile ikiwemo ya halali na ya haramu. Hatuwezi kupuuzia jambo dogo kama hili la kubadilisha fedha ambazo kimsingi zilisha pita muda wake wa matumizi, ni fedha zilizo kwisha ku-expire. Nadhani ni fedha ambazo hazipaswi kurudishwa tena...
  7. TUKANA UONE

    Nyumba inanuka harufu ya mzoga, Haikaliki, haipangishiki wala hainunuliki

    Je wajua? Kwa mujibu wa BAKITA,mtu asiyekuwa na pahala pa kuishi huitwa GAREGARE! Wakuu nipo Arusha au A town au Chuga kama wengi wenu mnavyopenda kupaita!,huwa nakuja angalau kupumzika mahali fulani na kila ninapokuja nimekuwa nikizunguka maeneo tofauti tofauti na kuonyeshwa mji na mwenyeji...
  8. Mpenda vurugu

    Kondomu za Zana zina harufu kali na mafuta mengi kama ya kupikia, wahusika mziboreshe

    Government tunaomba hii bidhaa yenu iwe improved, ni hayo TU!
  9. wa stendi

    SI KWELI Kanu ni Mnyama anayenukia harufu ya ubwabwa porini/vichakani

    Huyu ni mnyama mkali sana, mkorofi, na mwenye nguvu katika jamii ya paka. Akiingia bandani, anondoka na kuku mzima na anaenda kula kichwa mpaka shingoni. Kama ni kifaranga, anakula chote au akikuta mayai ambayo bado kidogo ya yaanguliwe, ndio soshi wake. Anakaa vichakani au porini, sehemu...
  10. LIKUD

    Harufu ya vita kuu ya 3 ya dunia inanukia. Umejipangaje wewe kama wewe? Mimi nimejipanga hivi!

    👉Mimi Binafsi nimejipanga Kula papuchi nyingi FRESH kwa kadri nitakavyo weza. Why & HOW? 👇 👉Effect za vita zitaiathiri dunia nzima. 👉Kwenye suala la uchumi hali itakuwa kama korona vile. 👉Umasikini utaongezeka maradufu. 👉Mabinti hawatakuwa na kimbilio zaidi ya kujisalimisha kwa akina...
  11. M

    Wananchi waitilia shaka kesi kuhusu ngorongoro huko Arusha-wadai ina harufu ya kimchongomchongo

    Baada ya joto kuhusu ngorongoro kupanda, ghafla eti tunasikia eti kulikuwa na kesi mahakama kuu kule Arusha na eti mahakama hiyo imetoa hukumu kupinga amri ya serikali kufuta vijiji. Mijadala inayoendelea ktk duru mbalimbali za wananchi, imeonyesha wananchi kuitilia shaka kesi hiyo. Wanatoa...
  12. Yoda

    Napata harufu ya matumizi ya Nyuklia Ukraine baada ya Kursk kuanguka

    Wengi watakumbuka katika vita vya uvamizi vinavyoendelea huko Ukraine wakati vinaanza ilikuwa Ukraine akijibu mashambulizi kwa kushambulia eneo lolote ndani ya Russia au maeneo ya Ukraine yaliyotekwa na Urusi kama vile Crimea basi jeshi Urusi litajibu maradufu kwa kuvurumisha mvua ya makombora...
  13. A

    DOKEZO Utoaji tenda Arusha DC kuna harufu ya Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka, mfumo wa NeST unachezewa

    Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu. Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa ikifanya michezo michafu kwenye utoaji wa tenda wa kukusanya ushuru wa Halmashauri pamoja na kuchezea mfumo...
  14. Yoda

    Kwa nini Simba na Yanga hawaweki hesabu zao za kifedha hadharani kwa wanachama wao kuondoa harufu na mizozo ya ulaji na upigaji?

    Hizi timu mbili zinazoitwa za wanachama kwa nini uongozi wao hawaweki hesabu zao za kifedha hadharani? Ukirejea haya malalamiko ya huyu anayeitwa mzee wa Yanga, Magoma na Hamis Kigwangala wa Simba inaonyesha kuna ujanja mkubwa sana katika hizi timu. Hii yote ingeweza kuwekwa sawa kama masuala...
  15. monotheist

    Perfume zenye harufu nzuri kwa maoni yangu

    Mimi nina allergy na perfume nikitumia huwa napata mafua makali na kichwa kinauma baada ya kupata kazi karibu na duka la perfume nikawa nafanya utafiti perfume zipi ambazo zitanifaa Hizi ni miongoni mwa perfume ambazo harufu yake imepoa sana na zinanukia vizuri si kali na nikizitumia huwa...
  16. I

    Mtoto mwezi mmoja kukosa choo

    Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda...
  17. D

    Mtu kutokuwa na harufu ya jasho au mdomo ni sawa?

    Nimeona jambo Hilo kwa mtoto mwenye miaka kama nane hivi. Wataalamu wa miili ya watu embu mtusaidie, Hali hii hutokana na Nini? Na Je sawa? Kama si sawa ni Nini kifanyike?
  18. Wakuperuzi

    Nanusa harufu ya matukio

    je! inawezekana vp mtu kuendelea kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2? hta ukimtxt labda sa 3usiku utakutna na jbu asubuhi na atakuambia nimekujibu toka jna labda mtndao. Najua kwl mtandao unaweza kusumbua lkn inwezekena vp kuendelea kuona...
  19. B

    Acid reflux ni kivipi inasababisha harufu mbaya kinywani?

    Habari wakuu naombeni msaada wenu. Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto, nahisi kukabwa na kitu kooni, natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo, sauti kukata nikiongea kwa sauti ya juu na kutoa harufu mbaya kinywa. Nahitaji kujua kama sababu ya kutoa harufu mbaya...
  20. Technophilic Pool

    Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

    Wakuu, Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale. Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi. vitu ninavoogea 1. Deto ya maji 2. Sabuni ya mikono 3. Medicated soap Mbaya zaidi joto kidogo na sweat kwa sababu watz wengi hawako...
Back
Top Bottom