harufu kali miguuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitu gani huwa kinasababisha miguu kutoa harufu kali?

    Kuna rafiki yangu ana tatizo la miguu kutoa harufu kali, yani akivua viatu ni balaa, akinitembelea home huwa namwambia aingie na viatu, wapo waliomshauri aloweke miguu kwenye maji ya betri mwisho wa siku akaishia kuchubuka miguu lakini wapi, kwa kifupi amehangaika sana bila mafanikio. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…