harufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Harufu kali ya mkojo wa mtoto inasababishwa na nini?

    Habari za humu ndani ndugu wataalam, Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nina mtoto wa mwaka na nusu, kuna kitu nimekinotisi kwenye mkojo wake. huwa mkojo wake unakuwa na harufu kali sana kuliko kawaida. Kwa mfano akijikojolea tu ndani ya dk zisizozidi 2 mkojo wake unatoa harufu kali sana...
  2. JamiiForums Tanzania TMDA: Ukitumia antibiotiki na usipokojoa mkojo wenye harufu, jua hiyo ni bandia

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba Nchini (TMDA), Bw. Adam Fimbo ametoa rai kwa jamii kutambua dawa zote za antibiotiki (Antibiotic) endapo watazitumia kwamba ni lazima iwe na matokeo ikiwemo harufu katika mkojo wa mtumiaji baada ya kutumia. Bw. Fimbo ametoa rai hiyo wakati wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote. Siumwi homa, wala mafua. Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto). Kuna wenzangu humu? Baadhi ya Maoni yaliyotolewa Sent using Jamii Forums mobile app
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…