HARUNA MBEYU NDANI YA MAKTABA
Leo jioni nimetembelewa na rafiki yangu ndugu Haruna Mbeyu. Nimemjua Haruna bado mtoto mdogo wa shule
Miaka mingi hayupo lakini hapungui Tanzania. Haruna ana ila moja. Kila akipata mtu anakuja Dar es Salaam kutoka London atampa vitabu aniletee. Leo kaja nikaona...