harusi bila bibi harusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Afanya sherehe ya harusi bila Bibi Harusi, baada ya kikeni kuzingua dakika za jioni

    Katika hali isiyo ya kawaida katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Edward Futakamba Mkazi wa Kata ya Nsemulwa amewashangaza wengi baada ya kufanya sherehe ya harusi licha ya Bibi harusi kugoma kufunga ndoa hiyo. Edward aliyekuwa akiishi na Mwanamke aitwaye Marry na kufanikiwa kupata Mtoto wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…