Kila uchwao nimekuwa mtu wa kuwaza Kuhusu siku ya harusi yangu. ( Walio olewa watakuwa wananielewa)
yani Kuna Hali Fulani hivi unakuwa nayo, furaha iliyochanganyikana na hofu.
Mfano Mimi nawaza nitawaangaliaje watu siku ya send-off, na harusi na siku ya chai Nawaza nivae nguo gani yani...