Habari wakuu,
Naomba wataalamu wa kuchanganua mambo ya ulozi na hasad mnipe msaada hapa.
Nimekua na series ya matukio ya bahati mbaya yaan matukio lukuki mpaka nawaza kua pengine nimepigwa na mambo ya ulozi au hasad.
Naomba wajuvi wa haya mambo wanipe msaada wa haraka hali ni mbaya sana...