Hivi karibuni Dar Es Salaam umeme umekua hauko stable kabisa unajiongeza na kupungua wenyewe. Sasa leo asubuhi mapema najiandaa niende kwenye shuhuli zangu umeme ukaongezeka, gafla nikaskia vitu vina burst sehemu tofauti tofauti ndani kwangu hadi circuit breaker ikajizima. Nika switch off switch...