hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Je! Ni wazo sahihu kujiunga na ILLUMINANT. Zipi ni hasara za kujiunga na freemason?

    Kwa miaka mingi watu wengi wamekua wakitamani kujiunga na illuminant (Frères-Maçons of Zion). Ila wengi wamekua hawaelewi ni nani kiongozi aliye juu ya taasisi hii nyeti sana dunia. Wengi wanatamani kujiunga Illuminati ili kutafuta majina, kupata nguvu na ushawishi kwenye public, kuwa na...
  2. Hakuna Hasara Ujenzi wa Reli ya SGR Tabora - Kigoma

    MHE. ATUPELE MWAKIBETE: HAKUNA HASARA UJENZI WA RELI SGR TABORA - KIGOMA SERIKALI kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Fred Mwakibete imefafanua kuwa hakuna hasara yoyote iliyosababishwa na ununuzi wa mkandarasi wa ujenzi wa njia ya reli ya Tabora-Kigoma, kwa kuwa ulifuata taratibu...
  3. Kabla ya kushinikiza Law School wafaulishe 'sub-standard advocates', njooni saiti muone wanasheria wasioiva wanavyotia hasara

    Tunapambana sana ili law school iruhusu "chakula ambacho hakijaiva" kiingie meza ya chakula. Jibu liko wazi, walaji wataharisha, wataumwa matumbo. Nchi yetu imekuwa ikilia kuhusu mikataba ya hovyo inayosainiwa baada ya kupitishwa (vetted) na wanasheria. Nchi yetu imekuwa ikilia kuhusu kushindwa...
  4. Je, ninunue aina ipi na nizitunze vipi cadet na jeans zikae walau mwaka?

    Kuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka/rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengele ni nguo. Nilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajeti yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na...
  5. Ili kupunguza hasara, ATCL ifute safari kuelekea vituo visivyo na abiria, hasa Chato

    Ni wazi kwamba ndege ya ATCL inayokwenda Chato huwa inaenda tupu, bila abiria Abiria pekee ni mama Janeth Magufuli na watoto wake au Kalemani. Nashauri ruti hii ifutwe kwa maslahi ya taifa.
  6. CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  7. Sababu za mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali

    Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali. Baadhi ya sababu hizo ni: 1. Uongozi mbaya: Mashirika ya serikali yanaweza kuingia hasara kama uongozi wake ni mbaya na usiofaa. Wakurugenzi na mameneja wa mashirika haya...
  8. Yanga wanapambana kumtumia Feitoto kulipa hasara walivyotumia kumnunua Aziz Ki

    Inasemekana Yanga wanataka kumuuza feitoto thamani ya pesa walizotumia kumnunua Aziz ki. Yani dola 200,000+ ambayo Ni karibu m 500. Sasa Cha kujiuliza Sasa 1. Je Kama thamani ya feitoto na Aziz ki Ni moja kwanini Aziz ki alipwe m10+ uku fei akipewa robo ya mshahara wake Je watafanikiwaa
  9. NHIF na hasara ya zaidi ya Bilioni 204 ndani ya mwaka mmoja tu

    Kwa mujibu wa CAG, shirika la bima ya afya ya Taifa limepata hasara ya zaidi ya 204B, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya malipo hewa, na marudio ya malipo kwa huduma ile ile kwa mtu yuleyule na kwa wakati ule ule. Kwa mimi mdau wa afya NHIF wamekosa mfumo maalumu wa kuhakiki taarifa...
  10. Hasara za Teknolojia ya kisasa

    Teknolojia ya kisasa pia ina hasi zake. Kwa hivyo, maendeleo hayo pia yameunda hali ambazo sio faida sana kwa wanadamu, tunaona.
  11. Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

    Sasa hivi watu vichwa vyao vimekuwa vyepesi kama mchuzi wa yai, uvivu umetawala mtu akiulizwa swali anakimbilia Google ili apate jibu haraka na aje kujibu mtu. Huyo aliyeandika Google ni nani? Katika uandishi kuna typing error uwaga zinatokea ila unakuta mtu anasema kasome Google tunawasomi...
  12. Wanalalamika biashara ya usafirishaji ni hasara ila kila siku wanazidi kuleta magari

    Bila salamu, Haya makampuni ya usafirishaji kila siku barabarani wanaleta chuma mpya, mfano unakuta mtu alianza na fuso moja anatoa ndizi Moshi anashusha Dar baada ya miezi sita analeta chuma nyingine. Mtu alikuwa anagari mbili route ya Iringa to Dar baada ya mwaka ana gari sita. Bado sisi...
  13. Maswahiba wa Fr. Kitima SAUT waiisababishia SAUT hasara

    Wakati akiwa makamu mkuu wa chuo SAUT Fr. Kitima aliwalela na kuwaingiza kwenye ajira vijana aliowaamini ambao walikuja kutengeneza mchongo wa kuiba ada huku wakitoa risiti bandia za chuo. Mchongo huu ndio chanzo cha kesi iliyoamuliwa na mahakama ya rufaa na kuitalka SAUT ilipe fidia ya 30M...
  14. O

    Kukokotoa faida na hasara kwenye biashara ya jumla na reja reja na namna nzuri ya kuuza

    Natambua mpaka mzigo uishe ndo tunaweza pata hesabu za faida na hasara vinginevyo itakuwa tuna assume tu. Ila kama inawezekana unaweza nipatia formula ili nione inavyokuwa. Kuna hizi bidhaa hapa Bidhaa zinazokuwa kwenye package moja ila zinauzwa moja moja labda ndani ya package ziko mia na...
  15. Mashirika 14 yameitia hasara Serikali kiasi cha Tsh. Bilioni 183.6

    Mashirika 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha. Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere amesema utafiti huo ni katika...
  16. Ripoti ya CAG 2021-2022: Mfuko wa Bima ya Afya Umepata Hasara ya Shilingi Bilioni 189

    Mfuko huu ukiacha hasara wanayoingiza Serikalini pia wametajwa na TAKUKURU kwenye ubadhirifu. Aidha Huu mfuko.unaongozwa na yule anayejiita Kamisama WA sensa na Spika Mstaafu Anna Makinda. Mh.Rais watu Hawa walioshindwa kazi Fukuza mda wa kuleana Kwa kuwakomoa Watanzania umekwisha.
  17. Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta akadiria hasara ya Tsh bilioni 1.2

    Familia ya Kenyatta inakadiria hasara ya bilioni 1.2 pesa za Tanzania (sawa na milioni 70 za Kenya) kufuatia uvamizi wa shamba lake na watu wasiojulikana hapo Jana. Wavamizi waliiba kondoo zaidi ya 1,400 aina ya Dorper mchana peupe, ambapo kondoo mmoja aina ya Dorper huuzwa kwa takriban tsh...
  18. Kwanini Mo Dewji anavumilia hasara Simba?

    Kila Simba inapoingia robo finali mashindo ya CAF Tajiri Mohamed Dewj anajitokeza hazarani kudai anapata hasara kwelikweli kwa kuidhamini Simba, Ni kwanini hasara anazopata zinatangazwa kwenye sasa na kwanini avumilie hasara zinazomkera? Je, unapogharamia kitu unachokipenda sana hiyo inaitwa...
  19. Eng. Hersi 2021: Yanga inajiendesha kwa Hasara

    Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM Eng. Hersi Said amewashukia baadhi ya wadau wa soka nchini Tanzania walioibua hoja inayogusa udhamini wa kampuni hiyo kwenye klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara. Hoja hiyo imeibuka kufuatia Kampuni ya GSM kuwa mdhamini ya Young Africans, Namungo FC na...
  20. Hasara nyingine kwa Adidas, Mkataba wake na Beyoncé wavunjwa

    Mkataba huo unavunjika ikisalia miezi 9 ya kumalizika kwake na sababu zikitajwa kuwa ni kutofautiana kwa masuala ya Ubunifu kati yao pamoja na kushuka kwa mauzo ya Bidhaa za 'Ivy Park' kutoka kwa #Beyoncé. Jarida la Wall Street limeripoti kuwa mauzo ya #IvyPark yalishuka kwa zaidi ya 50% hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…