hashim rungwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Hashim Rungwe: Watoto wengi wanaofeli hawapati Ubwabwa shuleni

    Wakuu Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote. Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Hashim Rungwe wa CHAUMMA: Sifanyi mkutano wa hadhara chama changu hakina fedha

    Wakuu, Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina fedha za kufanya mikutano hiyo. Soma Pia: Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani...
  3. T

    Pre GE2025 Je, timu Tundu Lissu wakishindwa uchaguzi hapo kesho 21/01/2025 wataibukia CHAUMA?

    Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue. Je inaweza kuwa karata nzuri? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
Back
Top Bottom