Wakuu
Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa amesema watoto wangepata chakula vizuri, wangesoma vizuri. Sasa watoto wanapata ziro hawawezi chochote.
Soma: Hashim Rungwe: Kama wanajeshi wanapata chakula, wanafunzi wapewe pia
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina fedha za kufanya mikutano hiyo.
Soma Pia: Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani...
Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue.
Je inaweza kuwa karata nzuri?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...