Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Hashimu Rungwe anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mkoani Mbeya ambapo atafanya mkutano wa hadhara kesho wa kuwashukuru wananchi wa Mtaa wa Soko.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe amemtaka mtangazaji kuchukua fomu na kugombea katika uchaguzi ujao wa chama hicho kama anaona kwamba mwenyekiti wa sasa amekaa muda mrefu madarakani
Soma pia: CHAUMMA Morogoro: Tutahakikisha tunashika dola uchaguzi mkuu ujao
"Chama tumekiasisi...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, kwa mara nyingine ameibuka kidedea baada ya kutetea kiti chake kwa ushindi wa kura 118 kati ya 120 katika uchaguzi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Akitangaza matokeo hayo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Mohamed Masoud...
Kwa hali halisi na mazingira ya sasa ya uelekeo wa upepo wa kisiasa nchini ni dhahiri kwa miaka kumi ijayo, wanawake wana nafasi kubwa mno, hasa kwa nafasi za juu za uongozi wa nchi kisiasa ukilinganisha na wananume wenye sifa kiasi dhidi ya nyingi na za ziada kwa upande wa wananwake Tanzania...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, ametoa kauli inayotia msukumo kwa mchakato wa kuboresha demokrasia nchini Tanzania. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa demokrasia ulioratibiwa na TCD hii leo, Rungwe amesisitiza umuhimu wa kuhakikisha kuwa uchaguzi...
Mzee amezungumzia kuhusu makodi Makubwa yanayowatesa Watanzania.
Uongo wa kikosi kazi cha Samia kubwa kimejaa wazee sana kama yeye hawana jipya walikuwa kwenye mfumo uliowatesa watanzania hivyo hawataweza kuwa msaada,atafute vijana na watu walio nje ya mfumo jinai.
Anasema tozo za Samia na...
Akihojiwa na kituo cha tv mheshimiwa Rungwe amesema wanamkaribisha sana Mbatia kwenye chama chao cha chauma na watamtafutia kazi ila asiwe na wazo la kuwa mwenyekiti maana mwenyekiti tayari yupo.
Ameenda mbali na kusema kama ni suala la kukaa muda mrefu kwenye uenyekiti wa chama basi yeye...
Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.
Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.
Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!
Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima.
Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao.
Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia.
Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu...
Habari zenu ndugu zangu,
Ndugu zanguni kama ilivyo ada mgombea wa chama nilichokitaja hapo juu ameshafahamika. Sasa hawa ni baadhi wa wapinzani ambao ikitokea wakachaguliwa na vyama vyao kuviwakilisha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, basi wanaweza kum challenge japo sio kumshinda mgombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.