hasira ya mzazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watoto waliozaliwa katika familia maskini wanapata taabu sana. Mzazi maskini hasira zake anamalizia kwa watoto

    Kuna vitu hutakiwi kushawishiwa ili uamini. Maskini mmoja jirani yetu kujenga nyumba lakini ana deni la bati pia fundi mjenzi hajammalizia fedha yake. Basi terehe 15 October ya 2024, wiki iliyopita ni kama walipatikana waje kudai kwa pamoja. Baba huyu maskini hakuwa na cha kuwapa zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…