Ebana wanajamvi inakuwaje?
Ni hivi ikitokea umegongewa demu ama kuchapiwa mke wala isikuume potezea tu na songa mbele.
Faraja inakuja aliyekugongea naye anagongewa na anayemgongea naye vilevile anagongewa and it goes on it is a cycle.
Unakuta watu wanawasifu waendesha bodaboda na wabeba zege...
Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa ulikua na bitch wako umekimbia anasema ww Unafanya nn masaki mida Hii si ulisema Upo kwako , Yani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.