hasira

Rabbi Yaakov Abuhatzeira, also known as the Abir Yaakov and Abu Hasira (1806–1880), was a leading Moroccan-Jewish rabbi of the 19th century, son of the patriarch of the Abu Hasira/Abuhatzeira family, R. Samuel.

View More On Wikipedia.org
  1. Ikitokea YANGA wakakubali kucheza derby SIMBA atachezea goli nyingi sana sababu ya HASIRA alizonazo YANGA

    Yaani hawa YANGA wana hasira sana. Kuna gazeti limeandika kwamba simu moja tu itairudisha YANGA kwenye gemu pamoja na msimamo wa sasa kwamba hawachezi tena dabi. Sasa SIMBA wasiombee YANGA ikakubali maana watachabangwa goli zisizopungua 6. TAKE THIS FROM ME.
  2. Hasira za vijana na namna wanavyoishi

    Salaam jamiiforum Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao. Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri...
  3. Mike Tyson aliingia katika Uislamu kwa Hasira tu na mihemko. Simwoni kama ana Uislamu

    Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama. Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au...
  4. K

    Unaweza kumshitaki mtu alikugongea mlango kwa Fujo ukiwa ndani?

    Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki?? Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
  5. Mpenzi wangu akinipigia simu napata hasira bila kuwepo na chanzo chochote

    Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana Shida inakuwa nini....?
  6. Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

    Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!. Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano. Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa...
  7. Hasira na makwazo huondoa vilemba vya wema na busara feki tunazojivika

    Unapomhitaji mtu awezeshe jambo lako, mtu unayemwona ni raslimali ya ufumbuzi wa tatizo lako, unaweza kulazimika kuwa na sura ya uungwana bandia. Mshunuzi Carl Jung aliuita uungwana huu persona—tabia tunazojitambulisha nazo mbele ya watu tunaowahitaji kama nyenzo ya mahusiano—mfano tabasamu...
  8. K

    Pre GE2025 Mbowe kajisahau sasa anaweka hasira na sio uzalendo

    Mbowe anaona vijana wake anao walea na kuwaleta mjini wana dharau. Lakini anasahau inawezekana kabisa wana nia njema ya kuiokoa Chadema na Tanzania. Kwa Watanzania wengi wnakubaliana na Lissu na wengine kwamba ni lazima mabadiliko yafanyike kwa manufaa ya umma. Nimeona Leo Mbowe akimkaripia...
  9. Q

    Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

    Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia. Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa...
  10. D

    Kosa la Mbowe ni kumshauri Wenje kupambana na Lissu, kwa hasira Lissu akampandia juu. Uamuzi ambao nauona sahihi kwake hata akishindwa

    Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha. Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za Abdul na mama yake kutaka kumpora cheo ndani ya chama. Lissu aliamini kabisa akishindana na Wenje...
  11. G

    Arusha: Dereva wa pikipiki aliyekaripiwa kwa kumkosa mtoto apandwa hasira na kuwaita wenzake kuivamia sherehe kwa mapanga

    taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio. Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki...
  12. D

    Kuna utafti naufanya kati ya waliochomwa chanjo ya covid katika suala zima la uaminifu katika ndoa na hasira nitareta mrejesho

    Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia! Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano! Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka, Tabia za kihisia (Moody)...
  13. R

    Mamlaka zijitahidi kuzuia wananchi wasigeuke kuwa " Wananchi wenye hasira Kali"

    Salaam, Shalom!! Mahusiano ya Dola na wananchi yanatakiwa kuwa sawa na mahusiano ya kipofu na Mwizi anayekula Kwa kificho na kipofu, Si vyema kukosea na kumshika mkono akastuka. Watu wanapotea na kutekwa hadharani viongozi kimya, unyanyasaji Kwa wasio HAKI sasa haujifichi, wananchi...
  14. Mayahudi waambiwe ukweli tu,Kama wana uchungu wa mababu zao kuuliwa na Hitler, basi kama ni sahihi hasira zao wakazitolee kwa wajerumani.

    Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani, Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina. Sasa chuki za kijinga na...
  15. Kuna wakati mke wangu ananikosea ila nikiangalia uzuri wake na watoto alonizalia, hasira zinaisha.

    Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika. Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana wote wakali, mke mzuri, mume handsome na watoto ndo ma cute hatari sana. Ukitaka kuoa, chagua mke...
  16. Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu unaelekea kunishinda.
  17. T

    Wanasiasa wanaotokana na hasira za kukatwa na vyama vyao na kuhama wachukuliwe kwa tahadhari!

    Huu ni msimu wa siasa za uchaguzi. Ni katika msimu kama huu kunakuwa na maamuzi mengi ya jazba na mihemko kukomoana na visasi. Hali hiyo hupelekea baadhi ya watu kuhama vyama na kujaribu kkukimbilia mahali ambako atapata jukwaa na wakati mwingine akilikosa Hilo jukwaa huanza kuleta nongwa...
  18. Watoto mara nyingi hulia kwa sababu ya hasira

    Kwa nini watoto hulia? Naamini kwamba tukiwachukua akina mama kumi wenye watoto wadogo na kuwauliza ni sababu zipi zinazopelekea watoto wao kulia watataja vitu kama; njaa, kutaka kunyonya, kukataa kunyonyeshwa, kwamba ameshiba (wakati wa kulishwa) maumivu, usingizi, joto, baridi, kutaka...
  19. Kwanini mageuzi ya kusitasita ya Rais Samia yanachochea hasira ya kisiasa nchini Tanzania?

    Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha, Kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe amekamatwa mara mbili wiki za hivi karibuni Maelezo kuhusu taarifa Wimbi la hivi karibuni la utekaji nyara, kukamatwa na mauaji ya kikatili ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani nchini Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…