hassan bumbuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ninosi

    Hassan Bumbuli: Tumehuzunika

    Matokeo ya leo yametuhuzunisha, huzuni imeongezeka maradufu kutokana na makelele na vicheko vya watani zetu. Wanatucheka, wanatusema, wanatutambia! Ni haki yao, kwani kwa hakika wao wanarekoni nzuri na bora zaidi kuliko sisi kwenye michuano ya kimataifa. Wanarekodi ya kucheza Fainali ya Kombe...
  2. Teko Modise

    Maoni ya Hassan Bumbuli kuhusu Kocha Juma Mgunda

    Kupitia ukurasa wake wa twitter ameweka maoni yake kama ifuatavyo;
  3. Ghazwat

    Klabu ya Yanga yamtema rasmi aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano Hassan Bumbuli

    Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu, Simon Patrick umethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Hassan Bumbuli, baada ya muda wake kutamatika hivyo basi nafasi ipo wazi na inahitaji kujazwa. Chanzo: Radio UFM
  4. M

    Hassan Bumbuli naye out Yanga,pole sana!

    Sasa ni rasmi Hassan Bumbuli out,pole sana ulijitahidi kukomaa ila waoi bwana Jana kapigiwa simu na GSM kuwa aanze kukusanya virago tayari kukabidhi ofisi kwa Taji Liundi Taji Liundi ni mbobezi katika hiyo sekta lakini yeye na Bumbuli siasa za mpira ni ngumu kwao . Simba na Yanga zinataka...
  5. chiembe

    Hassan Bumbuli, hebu tembeza fitna Haji Manara atoke kabisa Yanga, wewe unatosha

    Namshauri Hassan Bumbuli asimuonee huruma huyo Haji Manara, amuombee njaa afukuzwe kabisa katika tasnia ya mpira. Aina ya utendaji wa Bumbuli ni wa kitaalamu kabisa, hana mambo ya kihunihuni. Hii ni fursa kwa Bumbuli kumuondoa kabisa Haji Manara, na sio kumsaidia
  6. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli hii Furaha ninayokuona nayo sasa umeitoa wapi na inatokana na nini?

    Naona hadi umewaahidi Watu kadhaa Lunch Offer baadae Mchana hapo Posta. MImi Rafiki yako Mkubwa na Mdau wako wa Habari na Mawasiliano naomba kujua hii Furaha yako imetokana na nini?. Hebu shea nami basi Comrade Oky?
  7. John Haramba

    Bodi ya Ligi Kuu yatoa onyo kali kwa Haji Manara, Bumbuli, ni kuhusu waamuzi kuongeza dakika

    Bodi ya Ligi Kuu yatoa onyo kali kwa Haji Manara, Bumbuli, ni kuhusu waamuzi kuongeza dakika
  8. M

    Kwanini nikimsikiliza Ahmed Ally wa Simba SC naelimika zaidi, ila nikiwasikiliza Haji Manara na Hassan Bumbuli wa Yanga SC nalewa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji (Mzungumzaji) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo Simba SC imempata Competent Club Spokesman / Spokesperson kikubwa imuamini, imtunze na imsikilize pia...
  9. GENTAMYCINE

    Hassan Bumbuli na Haji Manara 'mnagombania' nini hadi 'mnatukanana' Matusi ya Nguoni katika 'WhatsApps' zenu?

    GSM binafsi tena hapa hapa JamiiForums nakumbuka nilianzisha Uzi Kuwaonya kuhusu Kumleta Yanga SC Haji Manara nikawaambia kuwa mmeandaa Bomu ambalo litakuja Kulipuka na Kuwagharimu Yanga SC na sasa yametimia. Kamarada (Comrade) wangu (Kitasnia) Msomi Mwerevu Hassan Bumbuli nawe nilikuonya hapa...
  10. liwaya

    Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
  11. M

    Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli bhana....!!!

    "Tumeamua Kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia katika hii Royal Tour yake kwa Kuutangaza Mlima Kilimanjaro na Kisiwa cha Zanzibar na kuanzia Mechi ijayo dhidi ya Rivers United FC na nyinginezo za Klabu Bingwa Afrika tutangaza" Chanzo: Sports Extra Clouds FM Ndugu yangu ( yetu ) Hassan Bumbuli...
  12. M

    Bumbuli na Yanga SC yako si mnajifanya mnajua kukanusha na kuficha yanayoendelea, ikanusheni na hii pia

    Nilishasema kuwa kuna Kazi iliyo nyepesi sana Kwangu Mightier ni ya Kufuatilia Habari ngumu na zinazofichwa ndani ya Klabu ya Yanga. Kwa taarifa nilizopemyezewa na Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC (asiyependa Unafiki na Uwongo) kasema kuwa Wachezaji Waandamizi wa Yanga SC akina Deus Kaseke...
  13. N

    Kumbukizi: Manara alipolia kubaguliwa baada ya kukanywa kwa kuchekelea ajali ya Yanga

    Hassan bumbuli alimpa makavu live baadaya kuwacheka Yanga kwa ajali ya kupasuka tairi la mbele la gari ambayo kimahesabu ingeweza kusababisha madhara makubwa kama kawaida yake ya kutumia ulemavu wake ku play victim card alianza kulialia mitandaoni and oh boy it worked ,hata majuzi tu alitumia...
Back
Top Bottom