Matokeo ya leo yametuhuzunisha, huzuni imeongezeka maradufu kutokana na makelele na vicheko vya watani zetu.
Wanatucheka, wanatusema, wanatutambia! Ni haki yao, kwani kwa hakika wao wanarekoni nzuri na bora zaidi kuliko sisi kwenye michuano ya kimataifa.
Wanarekodi ya kucheza Fainali ya Kombe...