Nimeona watanzania. Wengi wakilaumu kwamba kwanini sisi sio kama wakenya wenye ujadiri wakupinga waziwazi serikali yako barabarani? Na wengine wameenda mbele wanasema kwanini sisi mazuzu kias hiki na hatuwezi kuandamana. Wala kulaumu chochote kama. Ilivyo kwa wakenya?
Ngoja nikutoe wasi wasi...