hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Baada ya kuangalia hii movie sio siri Wajapan kwenye swala la Movie Production ni hatari sana, hata Hollywood wanafunikwa

    Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao zimejaa uchoko na content za ajabu ajabu tu. Naombeni mnitajie muvi Kali na nzuri zilizoandaliwa Japan...
  2. Nikiambiwa huyu ndiyo Profesa hasa ambaye sina Shaka nae na hata Kichwani yuko vizuri nitakubali kwa 100%, kuliko Maprofesa wengi Uchwara tulionao

    Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu. Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
  3. Pre GE2025 Hii Serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima nini hasa dhumuni lake?

    "Siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya Samora Machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni lake?. Kwanini imekimbilia kwenye mabango kujitangaza na si kuacha kazi ijitangaze yenyewe? Ukweli ni...
  4. K

    Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

    Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka. Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online. Nifanyaje wakubwa?
  5. Hata iweje tutalipenda taifa la Israel (taifa teule)

    Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel umeshamiri Sana. Ni kweli wa Israel wanawanyanyasa Sana wa kristo. Wanafanya hayo kwa kutojuwa Pamoja na...
  6. Watunza mazingira nao ni "watumishi" wa Mungu hata kama hawaamini katika Mungu

    Nilikuwa nikiwachukulia viongozi wa dini kama watu waliofilisika mawazo wanapoongelea masuala ya tabia nchi. Sikuona sababu ya wao kuongelea masuala hayo wakati kuna wataalam wanaohusika nayo. Ni mpaka nilipoelewa Andiko la Mwanzo 7: 1 - 5 kwa namna nyingine ndipo "nilipowaelewa" Duniani kote...
  7. Hata kama huna vyote haujanyimwa vyote

    Nyoka hana miguu wala mikono, lakini halali njaa, na anatumia sumu yake kama silaha ya kujihami dhidi ya maadui zake! Kinyonga hana uwezo wa kupambana na viumbe wakubwa, lakini kwa uwezo aliojaliwa wa kujibadilisha rangi humfanya asionekane kirahisi na viumbe hatarishi kwake Tembo ana nguvu...
  8. Marekani yasema bataliani 5 za Israel ziliwafanyia uhalifu Wapalestina hata kabla vita vya Gaza. Iliyomuua Mpalestina Mmarekani kuwekewa vikwazo

    Marekani imefanya utafiti na kugundua ya kuwa jumla ya bataliani 5 za jeshi la IDF zilikuwa zikiwafanyia uhalifu mkubwa wapalestina kabla kuzuka vita vya Gaza. Miongoni mwa bataliani hizo ni ile ya wayahudi wahafidhina la Netzah Yehuda ambayo ilihusika na kumuua mpalestina Omar Assad, ambaye...
  9. Kufurahia, kusemwa na hata kujivunia kabila lako sio kosa au dhambi

    Dhana ya makabila na ukabila huwa inafanyiwa upotoshaji kwa makusudi au kukosa uelewa hasa na wanasiasa kwamba watu kutambuana kwa makabila yao, kusemwa kwa makabila yao na kufurahiwa kwa makabila yao ni makosa makubwa au dhambi. Huu ni upotoshaji mbaya sana, kote duniani kuna nchi nyingi tu...
  10. Msaada: Nawashwa uume nikishiriki mapenzi

    Naomba msaada wa mawazo au hata tiba. Inakuwaje pale ninapoingiza uume kwenye uke naanza kuwashwa mpaka naahirisha tendo la ndoa? Maana hali ni mbaya.
  11. Je, nitumie dili niliyopewa ukweni hata kama wife ananitambia?

    Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa. Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ila tatizo wife sasa huwa anatamba sana kwamba mimi nasaidiwa na familia yake. Wife amekuwa akiyasema hayo hata wakija marafiki...
  12. Wale tuliopewa muonekano na ngozi nzuri hata kama tuna changamoto za kimaisha tukutane hapa

    Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu wakituona huwa wanazidi kuchanganyikiwa zaidi tukutane hapa 😊
  13. Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

    Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia mihangaiko yangu ajui kituo cha gari anakoenda ila sijajua kama kweli alikua hapajui...
  14. Mtu ana frem analipa milioni 4 kwa mwezi lakini hamna hata mteja

    Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta mjadala huko mtandaoni leo Unakuta mtu ana duka la iphone hata simu 10 hazifiki frem kodi ni milioni...
  15. Wayahudi hata wakijiunga uislamu, bado watauawa sana tu, hizi hapa facts

    Hizi ni facts sio chuki..... Wakijiunga mlengo wa Shia, ili wawafurahishe Iran, Yemen, Lebanon watachukiwa au kuuawa na mlengo wa Sunnis wa Misri na Saudi Arabia. Kinyue chake pia vivyo hivyo, wakijiunga Sunni watachukiwa sana na Iran, Lebanon n.k. Wakiamua wajiunge Sufi, watachukiwa au kuuawa...
  16. M

    Wanaokuacha kwenye Mahusiano, wengi wao walishapanga hivyo hata kabla ya kufanya kosa hilo…

    Wanaokuacha kwenye mahusiano wengi walipanga hivyo hata kabla ya hilo kosa wamelotumia kama sababu Mara nyingi anayeachwa anakuwa na msongo wa mawazo na kujiona asiye faa kwenye hii Dunia na wengine huenda mbali mpaka kujiona wasio na thamani yoyote, je nawe umewahi kuwa hivyo baada ya kuachwa...
  17. D

    Kuna watu hawatatubu hata katika siku ya kiama.

  18. Hatuna hata movie moja iliyoigiziwa Mlima Kilimanjaro

    Hatuko serious kwenye tasnia ya filamu yaani nchi yote hii wasanii wameshindwa kuja na idea ya movie ikachezwa mlima kilimanjaro au serenget au ngorongoro. Isiwe kipande tu iwe movie yote full mwanzo Mpaka mwisho ichezewe mlimani.
  19. Hivi Hakuna Mpinzani aliyetunukiwa hata Nishani Moja la daraja la nne mbona watu wote waliotunukiwa Ni wa wanaccm

    Kwa mbali Sana nimeona waliotunukiwa nishani leo na Rais Samia Ila ajabu hata hakuna mpizani yoyote aliyepewa tuzo hiyo Ina maan wapinzani hawna mchango wwote ktk kufikiwa kwa muungano huu wa kitapeli wa miaka 60 Nataka kujuwa kigezo Cha kutunikiwa nishani ni nini? Pia Soma - Rais Samia atoa...
  20. Tujifunze kuambizana. Hata kama kwa uchungu

    Zamani, miaka ya 1983 nikiwa nafanya kazi Mutex, Musoma. Tullikuwa na ofisa mmoja wa ngazi za juu. Inasemekana alikuwa ni mmoja wa wasomi wachache wa taaluma ya viwanda vya nguo enzi hizo. Tatizo lake lilikuwa moja. Saa zote alikuwa amelewa. Enzi zile ilikuwa sio rahisi kufukuzwa kazi. Jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…