Kuishi kwa hatari ndio jadi yetu Wanaume. Tokea utotoni michezo yetu mingi ilihusu mapambano, kuuwana, na kuchinjana. Nakumbuka tulikuwa tukipiga kelele kali sanaa kutokana na hashishi iliyoletwa na michezo yetu ya maigizo.
Sasa tumekuwa wakubwa mambo ya kuigiza hamna tena, ila kuna vitu viwili...