hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. Tigo wamepunguza mb+dakika, ni hatari hawa watu

    Mnasikia ninyi TIGO na mitandao mingine, msitufanye watanzania wapumbavu na wendawazimu, mnaendelea kupunguza vifurushi maanake nini!!! Tumewakalia kimya ndiomaana mnaendelea kufanya ambavyo wanataka. Nasema hivi endeleeni tu kupunguza, kuna siku kitawaka, kama hamkuona ofisi zenu...
  2. Mvua inayoendelea kunyesha huko Mwanza ni hatari

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha hapo ni hatari kwa mazao na mazingira kiujumla
  3. Kama jambo hilo ni la kweli basi ipo hatari ya amani kutoweka Mbarali

    Rais Samia likatae hilo jambo kwa maslahi mapana ya wananchi wa Mbarali.
  4. Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari

    Urusi inadai imepata intelijensia kwamba Ukraine wanafanya maandalizi ya kutumia 'dirty bombs', aina mabomu hatari ambayo yanaweza kufanya maangamizi makubwa na maafa. Juzi hapa hawa hawa Urusi walitishia kwamba wapo radhi kutumia nyuklia kulinda maeneo ambayo walijimegea kutoka kwa Ukraine, leo...
  5. Huu muongo hatari zaidi na usiotabirika tangu WWII - Putin

    Habari siyo njema hii kwa wanazi wote!!!!! Hawa majamaa wanachukiana sana. Mmoja akisuicide TUMEKWISHA!! Soma: Rais wa Urusi ametabiri kutokuwa na uhakika zaidi wakati enzi ya mtawala wa mmoja wa kimagharibi zinakaribia mwisho. Rais wa Urusi Vladmir Putin anaamini kuwa ulimwengu uko kwenye...
  6. Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

    Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana! Miguna miguna alimuapisha Odinga na karejea Kenya baada ya muda mrefu kuwa Canada! Je, kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna ujanja ujanja fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile...
  7. Dalili za hatari kwa ujauzito

    Ujauzito huja na tabia nyingi ambazo baadhi huwa za kawaida huku baadhi zikiwa siyo za kawaida. Ni muhimu sana kwa mama mjamzito kuzungumza na daktari mara kwa mara ili kuondoa sintofahamu hizi ambazo siyo nzuri kwa afya. Tumekuletea dalili za hatari wakati wa ujauzito ambazo ni lazima...
  8. Augustine Okrah, winga bora zaidi katika soka la Tanzania kwa sasa

    Huyu jamaa alisajiliwa kimyakimya na hata gharama za ujio wake hazikuwekwa wazi. Ameonesha kuwa ni winga mwenye makali ya kimataifa. Ana kasi, pasi za upendo, anaona nafasi katikati ya msitu wa mabeki na ni mpambanaji. Katika muda mfupi aliopo Simba amefanya wachezaji wengi sana waliopita hapo...
  9. Je, Geita ni eneo hatari sana? Mbona walinzi wa Rais wamesimama juu ya gari?

    Vipi huko kanda ya ziwa hasa Chato, mkoani Geita ni eneo hatari sana? Inakuaje walinzi wa Rais Samia kusimama juu ya gari? Ndiyo wanawaogopa Sukuma Gang?
  10. HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

    Zama za kiimani kwa Kanisa Katoliki zimebadilika, maisha ya waumini na Mapadri ndani ya Kanisa Katoliki yamebadilika, na mifumo ya kimaisha imebadilika. Sio siri tena, Kutubu mbele ya Padri kwa sasa kumekuwa sumu ya kuwaumiza waumini au kitendawili chenye kukosa majibu. Kiapo cha Upadri...
  11. TMDA: 30% ya Maduka Kanda ya Ziwa yanauza Dawa bandia za nguvu za kiume na P2 hatari kwa uzazi

    Asilimia 30 ya maduka ya dawa za binadamu Kanda ya Ziwa Magharibi yanadaiwa kuuza dawa za kuongeza nguvu za kiume ambazo hazijasajiliwa pamoja na dawa za kuharibu vichocheo (hormones) kwa wasichana ili mimba isitungwe maarufu P2, jambo linalotajwa kuhatarisha afya ya uzazi. Meneja wa Mamlaka ya...
  12. Watoto huwa wanacheza michezo hatari sana!

    Tazama hapa. wenyewe wanaona rahaa
  13. Mwanamke ndiyo kiumbe hatari zaidi kuwahi kutokea duniani!

    Watu wanawataja simba, chui, nyoka na kadhalika eti ndiyo viumbe hatari duniani! Aiseeh, hao viumbe wote ni chamtoto kwa mwanamke. Mwanamke mfanyie kila unachojua, huna utalia, unacho utalia. Nawaonea huruma sana vijana mnaotarajia kuoa.
  14. Prof. Janabi: Matumizi makubwa ya chumvi ni hatari kwa afya ya moyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2022. Katika kuadhimisha siku hiyo wataalamu wa JKCI kwa...
  15. Huu mgao wa umeme wa kimyakimya ni hatari, hakuna kinachoenda

    Huu mgao wa umeme wa kimyakimya ni hatari. Hakuna kinachoenda. Siku nyingine inaenda kupotea.
  16. Umalaya Shinyanga ni hatari

    Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI. Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa...
  17. S

    Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

    Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaloliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
  18. M

    Yanga SC yaajiri CEO Mpya mwenye 'Lundo' za 'Kesi' mbalimbali za 'Uhalifu' na 'Hatari' Nyinginezo

    CEO MPYA WA YANGA KULIKONI?, KESI ZATAJWA. Baada ya Yanga kumtambulisha Andre Mtine kama Mtendaji Mkuu wao mpya nimepitia vyanzo mbalimbali vimeonesha kuwa ana rekodi za kesi na tuhuma mbalimbali. 1- KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA (2007) NDOLA, ZAMBIA 🇿🇲 - Andre Mtine alikamatwa na Mamlaka nchini...
  19. Bakteria Sugu kwa Dawa watajwa kuwa chanzo kingine hatari cha vifo Afrika, Tanzania ikiwemo

    Uchunguzi uliofanywa na Jumuiya ya Kiafrika ya Madawa ya Maabara (ASLM) imeonesha nchi 14 za Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo zinakabiliwa na hatari ya kuongezeka wagonjwa wenye vimelea wasiotibika kutokana na usugu wa dawa. Ripoti hiyo imebaini kuwa ni vimelea vitano tu kati ya 15...
  20. Yanga inapoingia kipindi cha pili ni hatari mno!!!!!

    Miaka nenda miaka rudi Yanga ni timu hatari imapoingia kipindi cha pili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…