Salaam wakuu;
Wahenga walisema"Kuhangaika bure sio sawa na kukaa bure,tena wakasema tembea uyaone.
Naam, leo nilikuwa na vijisent vyangu vilivyotosha kwa nauli ya kwenda mahala fulani na kunirudisha nilipotoka, huyoo kwenye daladala za kigamboni kutokea Tandika safari ikaanza,Daresalaam nzuri...