hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. Harmonize ataimba nyimbo zote ila hizi ni hatari

    Kuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui, Mtaje
  2. Kisaikolojia katika Jamii yetu yoyote mkiwa na Mtu asiyeeleweka eleweka ni HATARI sana kwani Binadamu ni lazima uwe na Upande juu ya Jambo fulani

    "Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
  3. Je kuna vitu binadamu tumefichwa ila vimefunuliwa kwa wanyama ?, Jinsi asili inavyo tutahasharisha kupitia wanyama kabla hayajatokea mambo ya hatari.

    uwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana... wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami, Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya...
  4. Toxic Fuvu ni moja kati ya vijana hatari kwenye soko la bongo HipHop Music

    NEW KING https://youtu.be/w1hgqFRsoZ8
  5. Video clip: Akili mnemba zimefikia level za hatari sana, tukizubaa, binadamu wote tutapoteza ajira

    Hebu angalia hizi slide mbili za video zilizotengenezwa na akili mnemba ndani ya dakika chache tu.., fully rendered. Kwa sasa wasanii na maprodyuza wa muziki ndio wanaipata pata.., ila huko tuendako, hata wahandisi na wabunifu majengo lazima tutakwenda na maji. Hata madaktari (Medical)...
  6. M

    Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

    Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika. Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
  7. Masingle moter hatari kwa malezi ya vijana wetu

    Natumaini wikiend iko poa sana twende kwenye mada kuna jamaa yangu mmoja napiga nae mishe yani ni shida kila jambo ukiongea nae au mkashauliana bas lazima lifike kwa mama yake uzuri mama yake baadhi ya biashara namuuziga kwaiyo ananiambiaga nilichokuja kugundua jamaa makuzi ya kulelewa na single...
  8. M

    Vyombo vya habari vya Israel: Hamas imechagua mtu hatari zaidi kuongoza harakati hiyo baada ya Haniyeh

    Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki. Kwa upande wake, mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati wa gazeti la Times of Israel, Avi Iskharov, amesema kuwa...
  9. Mungu atulinde na hatari za usiku huu.

    Kwa tulioyaona Matendo ya Mungu kwetu na jinsi alivyotuvusha katika hali ngumu tunajua atatenda sawasawa na Mapenzi yake. Amina
  10. Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi na watatu malizia ni nani?

    Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi watatu malizia ni nani?
  11. Sehemu hatari kuishi ni uswahilini na kijijini.

    Kuishi kijijini - ukikaa kijijini kufanikiwa maisha kiasi cha kummiliki mali ni ngumu Sana hii ni kwasababu zifuatazo. -Uzinzi -Pombe -Ukosefu wa maarifa. -Kukaa na watu wenye mawazo duni -fixed mindset and conservative. Kijijini ndo sehemu ambayo unakuta mtu anayeitwa tajiri ni mchafu Sana...
  12. S

    Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

    Wanabodi, Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu. Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini...
  13. S

    Nimekoma kula misosi ya dezo toka kwa mademu wa kibongo, ni hatari nilidhani napendwa kumbe ndio wananiumiza

    Mwenzenu nimejifunza sasa na nimekoma kwa yaliyonitokea, nimekuwa na mahusiano na wadada tofauti katka nyakati tofauti, lakini kitu kimoja tu kinafanana katika hao wote ninao kuwa nao nacho ni kuwa mara tu napokuwa nao basi hilo kosa lazima ataenda kunitengeneza ili nimpende zaidi na technic...
  14. Harmonize na Rayvanny ndiyo wasanii wangu bora

    Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza Tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka. Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali sana nafikiri mmeona wadau au nyie mmezionaje Hawa jamaa wako vizuri sana nasema ndio WASANII WANGU...
  15. Kwanini waliotuletea mahindi wao hawali ugali?

    Ugali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada. Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi...
  16. R

    Tutegemee athari zipi kiusalama nchini Tanzania baada ya Rais Ruto kutangaza Hali ya hatari?

    Salaam,Shalom!! Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba. Swali: Tutegemee athari gani kiuchumi,Kijamii, na hasa KIUSALAMA mipakani Kwa siku...
  17. Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

    Hali ni mbaya Sana kwa Majirani.. Jeshi limeingia Rasmi mzigoni..
  18. Tuna hatari zaidi kwa Vyombo vya Habari kuliko wakati mwingine...

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga...
  19. M

    Ni jambo la hatari sana kutoa ushuhuda wa uongo!

    Hali hii naona ifike mahali itazamwe kwa jicho la tatu. Ukiwatazama hawa wanaojiita Mitume hasa kwa hapa DSM, kwa kweli kuna utata mno kwao, na kwenye baadhi ya shuhuda za wafuasi wao. Kwa akili ya kawaida tu ni wazi kuna watu wafuasi wanatoa shuhuda za uongo na sijajua ni kwa maslahi ya nani...
  20. KERO Biashara ya lodge Sinza, Manzese na Tandale ni hatari kwa sasa! Wateja na wamiliki wanadhalilishwa na polisi kwa kisingizio Cha madada poa!

    Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine! Kinachoendelea wilaya ya Ubungo ni udhalilishaji na kuharibiana biashara. Chimbuko la madada poa sio gesti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…