Moja kwa moja kwenye mada. Wahadzabe ni kati ya makabila madogo, na yenye utamaduni adhimu kabisa nchini, wamekuwa na mambo yao bila kuingiliwa kwa miaka mingi hivyo tamaduni yao kubaki kama ilivyo, pamoja na ecologia yao.
Lakini miaka ya karibuni, wamekuwa wakiingiliwa hasa na wazungu na...