hatarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    BAD NEWS: Simba tumeshuka ranks za CAF hatarini kuanzia round ya awali na vilaza, Namungo bado ya 56

    dah siamini aisee, kutoka 12 hadi 14 anyway dah naona namungo bado wako palepale 56, hapo ndo mwisho wa list kama team yako hauioni pole sana Shida ni kwamba kwenye zile top 10 za kuanzia round ya kwanza naona kama safari hii ni ngumu maana kuanzia namba moja hadi 13 , teams ambazo kwenye nchi...
  2. Daktari: Watumiaji wa dawa kuzuia hedhi hatarini kupata magonjwa ya MOYO

    Wataalam wa afya wametoa angalizo kwa wanawake wanaotumia dawa za kuzuia hedhi bila kuzingatia ushauri wa daktari kuwa wako hatarini kupata madhara, yakiwamo maradhi ya moyo. Daktari wa Magonjwa ya Kinamama Hospitali ya Rufani Mkoa wa Njombe, Shomari Masenga ametaja dawa hizo kuwa zimegawanyika...
  3. D

    Usalama wa Raia na Mali zao: Vibaka waliokata watu mapanga nyumba 21 Chanika ni fedheha isiyovumilika

    Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21 Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi. Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema! Inashangaza kuona...
  4. Watu 200,000 hatarini kupoteza ajira Urusi kutokana na vikwazo

    Meya wa Jiji la Moscow Nchini Urusi, Sergei Sobyanin amesema kuwa takriban wafanyakazi 200,000 wa makampuni ya kigeni wanakabiliwa na hatari ya kupoteza ajira zao kutokana na vikwazo ilivyowekewa Urusi kufuatia uvamizi wake kwa Ukraine. Sobyanin amesema wiki iliyopita, mamlaka iliidhinisha...
  5. Kama viongozi wazalendo maisha yao yanakuwa hatarini kwa kutetea maslahi ya taifa lao, tutaweza kuwa na kizazi cha kulipigania taifa letu?

    Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao. Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana. Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao. Viongozi ambao watazuia wavuta...
  6. Watu 160,000 hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula Yemen

    Mashirika ya misaada kadhaa ya Umoja wa Mataifa yamesema watu wapatao 160,000 wamo hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula nchini Yemen. Ripoti ya mashirika hayo juu ya hali hiyo ya kutisha imetolewa kabla ya mkutano wa wafadhili utakaofanyika hapo kesho. Umoja wa Mataifa umetayarisha...
  7. Ukiwa kiongozi makini hapa Afrika ukasimamia haki na maslahi mapana ya taifa lako uhai wako unakuwa hatarini

    Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao. Wote wawili waliuawa bila hata huruma. Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la Kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa. Adui wa kwanza huwa...
  8. #COVID19 Takriban dozi laki moja za chanjo ya Pfizer ziko hatarini kuharibiwa-Mamlaka Afrika kusini

    Mamlaka ya afya ya Afrika Kusini ilisema Ijumaa kamba takriban dozi 100,000 za chanjo ya Pfizer ya COVID-19 ziko katika hatari ya kuharibiwa ifikapo mwishoni mwa mwezi huu kutokana na watu kutojitokeza kwa haraka kupokea chanjo. Afrika Kusini imerekodi idadi kubwa ya maambukizi na vifo vya...
  9. Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"

    Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate. Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani ...
  10. Neno ‘KOLO’ hatarini kumponza Haji Manara, jela inanukia

    Kutokana na mwendelezo wa baadhi ya watu kutumia 'graphics' za Baraza la Kiswahili Taifa (BAKITA) na kutumia kuweka maneno yao kisha kuandika maana potofu katika Lugha ya Kiswahili, baraza hilo limekuja juu. Haji Manara ni mmoja wa watu maarufu ambao walitumia ufundi kama unaotumiwa na BAKITA...
  11. TTCL hatarini kunyang’anywa soko

    Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, Tanzania imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) liko katika hatari kubwa zaidi ya kunyang’anywa soko na makampuni mengine ya simu kutokana na upungufu wa mtaji. Hayo yamesemwa leo Jumatano Februari 16, 2022 na Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  12. Walaji wa nyama ya kitimoto hatarini kuugua kifafa

    Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya. Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu...
  13. F

    Usalama wa wateja banki ya NBC moshi uko hatarini

    Umeibuka mjadala mkubwa sana kwa wakazi wa mji wa moshi wengi wakihoji mamlaka za serikali kuwa kimyaa kutokana na Baa moja kubwa kujengwa ikipakana na ukuta wa Banki ya NBC Tawi la Kibo Mjini Moshi. Wapo wanaotilia shaka uwepo wa Baa hiyo wakidai inaweza ikaharisha usalama wa wateja wanaotumia...
  14. Wanawake wasio kuwa Na makovu/ weusi Kati Kati ya mapaja hatarini kutoweka

    Ndio maana wanaume wengine kabla haja lala Na mwanamke mpya huwa wanaomba watumiwe Kwanza picha za utupu at least waone muonekano WA ndani. Siku hizi imekuwa NADRA Sana kukutana Na mwanamke ambae Hana makovu makovu au maukurutu katikati ya mapaja. Tatizo Ni Nini? HII ishu huwa inanikata sana...
  15. B

    #COVID19 Corona: Marekani yaiweka Tanzania katika Mataifa Hatarini

    Iko kama "The Comedy" tu: US puts Tanzania, five other countries on travel red list Beberu sasa katupiga kalamu kama ilivyo kwa France, Portugal, Cyprus au Andorra. Wengine wanapambana na hali zao, ila washupavu sisi. India ilitaarifu abiria kuwasili kwao kutokea kwetu akiwa na kirusi...
  16. Zaidi ya watumiaji Billion 2 wa Google Chrome wapo hatarini data zao kukusanywa sana mitandaoni

    Browser ya kuperuzi ya Google chrome inatumika na zaidi ya watumiaji Bilioni 2 ambao wanaitumia sana. Hivi karibuni kuna kesi inaendelea baada ya tetesi kuonyesha zaidi ya Watumiaji Bilioni 2 wa Google Chrome wapo katika hatari ya data zao kukusanywa sana mitandaoni kutokana na baadhi ya...
  17. #COVID19 Wanaokwenda Hospitali kupata matibabu ya kawaida wako hatarini kupata maambukizi ya CoronaVirus

    Data mpya zilizotolewa Nchini Marekani zinasema Watu wanaokwenda hospitali kupata huduma za kawaida (sio za CoronaVirus) wanakuwa kwenye hatari ya kupata Maambukizi ya Virusi hivyo Data hizo zilizotolewa na Shirika la Kaiser Health News zinasema zaidi ya Visa 10,000 vilivyothibitishwa vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…