hati miliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi yakabidhi bure hati miliki za kimila kwa wakazi 360 Bahi, Dodoma

    Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imekabidhi hati miliki za kimila kwa wakazi 360 wa Kijiji cha Mpinga, Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, bila malipo yoyote. Hatua hii ni sehemu ya juhudi za serikali kupunguza migogoro ya ardhi na mipaka vijijini. Utoaji wa hati hizi...
  2. sanalii

    Tuelewane: Hakuna mwenye hati miliki ya Yesu Kristo

    Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive. Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo. Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa...
  3. Rorscharch

    Zifuatazo ni sifa za kipekee za nchi mbalimbali duniani, nchi yako inasifika kwa kitu gani? (Usitaje amani maana hauna hati miliki)

    Katika ulimwengu wetu uliojaa maajabu, kila nchi ina kitu ambacho inaongoza au inajulikana nacho duniani. Wakati mwingine, ni jambo la kufurahisha, la kushangaza, au hata la kusikitisha. Katika uzi huu tutagusia kiufupi sifa ya kila nchi kama ifuatavyo; Afghanistan hadi Angola Afghanistan...
  4. FRANCIS DA DON

    Taratibu za kuhamisha hati miliki za viwanja ni ndefu, ngumu na ghali mno, inaleta mianya ya rushwa manispaa, TRA na Ardhi

    Nimegundua sasa ni kwanini watu wananunua viwanja kisha wanaendelea kutumia hati zenye majina ya watu wengine bila kubadilisha majina. 1.) Hivi inakuwaje mtu anunue kiwanja milioni 50 kisha report ya valuation iseme kwamba kina thamani ya 200mil.?! Kama kweli kinathamani hiyo kwanini mtu auze...
  5. S

    Kama Lisu angekuwa na hati miliki ya jina lake, basi angevuna pesa nyingi sana toka kwa Rais Samia

    Kitendo cha rais Samia kumbatiza Simba wa Kizimkazi jina la Tundu Lisu, kimezua minong'ono mingi sana. Wengi wakidhani kuwa ni dhihaka kwa mwanasiasa maarufu nchini ndugu Tundu Antipas Mungwai Lisu. Lkn ukweli mchungu ni kwamba Tundu Lisu siyo mali binafsi ya Tundu Antipas Mungwai Lisu, kila...
  6. hitler2006

    Hakuna mwenye hati miliki ya Taifa letu si CDM wala CCM

    Watanzania tuko zaidi ya ml 60 Wa makabila,Imani na itikadi tofauti Tunaunganishwa kwa pamoja na utaifa wetu unaotambulishwa katika katiba ya JMT.Kuna dhana ya wanasiasa kutaka kudhani kuwa wao pekee Yao ndo Wana uhalali na uwezo wa kuamua hatima yetu kama watu na kama Taifa Wanasiasa Watambue...
  7. Zakaria Maseke

    Umuhimu wa Kumuunganisha Msajili wa Hati Miliki (Registrar of Titles) Kwenye Kesi ya Ardhi Ambayo Kiwanja Kimesajiliwa na Kina Hati

    Ukifungua kesi ya ardhi ambayo kiwanja kimesajiliwa au kina hati, unatakiwa kumshtaki pia na Msajili wa hati (Registrar of titles). Kushindwa kumuunganisha au kumshtaki Msajili kwenye kesi ambayo ardhi ina hati ni kumnyima haki ya kusikilizwa. Na hukumu yoyote itakayotolewa kwenye hiyo kesi bila...
  8. Wizara ya Ardhi

    Dar: Wizara ya Ardhi yatoa Hati Miliki 1,134 katika maonesho ya Sabasaba

    Hati za umiliki wa ardhi 1,134 zatolewa Sabasaba 2024 Wananchi wa Dar es Salaam, Dodoma na Pwani wafurika kupata hati zao. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetumia fursa ya Maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kuandaa, kusajili na kutoa Hatimiliki kwa...
Back
Top Bottom