Mwanadamu hajui wala hatambui siri ya kifo, bali ni aliyeumba ulimwengu huu ndiye anayeijua. Lakini baadhi ya machaguo katika maisha hufanya watu kufanya tathmini ya kifo chako mwenyewe au kujua ni aina gani ya kifo utakachokufa. Kwa mfano, mtu mla sigara mara nyingi hufa kwa kansa ya mapafu, au...