"Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya mambo makubwa na kuzidi. Waziri Mkuu ulitembelea Mkoa wa Mbeya ikiwemo Halmashauri ya Busokelo, tunakushukuru sana. Lakini mojawapo ya changamoto nchini kumekuwepo na tatizo la kutolewa kwa hati za ardhi za kimila...