Kila mwaka, tunashuhudia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akitoa Hati za Ukaguzi kuhusu utayarishaji wa hesabu za taasisi za umma. Hati hizi ni muhimu sana katika kuhakikisha uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma.
Hati ya Kwanza ni ile inayoitwa "Hati...
Hati za Ukaguzi ni maoni ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kuhusu hesabu za Taasisi inayokaguliwa. Maoni haya yanalenga kuonyesha kama hesabu zilizokaguliwa zimeandaliwa kwa kuzingatia viwango vya kihasibu vya kimataifa (IPSAs) na matamko yanayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa...
Hati za Ukaguzi Zilizotolewa Katika Miradi ya Maendeleo Kwa mwaka 2019/20, CAG alikagua jumla ya miradi ya maendeleo 290 na kutoa aina mbill za Hati za Ukaguzi ambapo; alitoa Hati Zinazoridhisha kwa miradi 275 sawa na asilimia 95 na Hati Zenye Shaka kwa miradi 15 sawa na asilimia 5.
Hati...
Baada ya kukamilisha ukaguzi, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali hutoa Hati ya Ukaguzi kwa kila taasisi ya umma aliyoikagua. Hati ya Ukaguzi ni maoni ya Mkaguzi yatokanayo na ukaguzi alioufanya kwenye hesabu za taasisi au mamlaka yoyote ya umma.
Hati ya Ukaguzi hutolewa na Mdhibiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.