Baada ya kukamilisha ukaguzi, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali hutoa Hati ya Ukaguzi kwa kila taasisi ya umma aliyoikagua. Hati ya Ukaguzi ni maoni ya Mkaguzi yatokanayo na ukaguzi alioufanya kwenye hesabu za taasisi au mamlaka yoyote ya umma.
Hati ya Ukaguzi hutolewa na Mdhibiti...