Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, Julai 02, 2024 amewasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Nchi hiyo, Mhe. Azali Assoumani ambapo wamepata pia fursa ya kufanya mazungumzo kuhusu uhusiano wa nchi hizo mbili.
Balozi Yakubu ambaye aliwasilisha hati hizo za utambulisho kwa...