Nimekumbuka mtani kwetu miaka ya nyuma, alitokea mwizi mwanamke, alikamatwa bila kupigwa hata kibao tu walitokea watu wakazuia asipigwe.
Baada ya yule dada kuhojiwa alitoa story ya simanzi pale akachangiwa sembe, mchele, sukari na vyakula vingine vingi akale na familia yake, akapewa na nauli ya...