Hivi ndivyo walivyohukumiwa na Mahakama siku ya Leo, Aveva amefungwa kifungo cha nje cha miezi 6 kwa matumizi mabaya ya ofisi, huku Kaburu akiachiwa huru kwa kuonekana hana hatia.
======
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Rais wa Simba, Evans Aveva kifungo cha...